Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
193
321
Habari wana JF..

katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa.

Kwanini????
TUKIANZA NA MUZIKI,
Baada ya kizazi cha kina wanamuziki mashuhuri wakiwemo kina Lionel Richie, Michael Jackson, LaToya Jackson, Janet j, Steve wonder, Bruce Williams, Elton john, na wengine wengi kupita wakafata kina tupac, BIG notorious kwenye late 80s hizo halaf kizaz cha rap kikazdi kujua kipind cha kina puff dady, jay z, chamilionaire, dmx, fat Joe, rick Ross na wale best rnbs kina Beyonce, Mary j blige, Ashanti, aaliyah, r Kelly, celine Dion hawa wote na wemgine wengi walikua ni wanamake good hits na zlikua zinafanya marekani iwe tishio kwenye suala la mziki, zile charts kama billboard zilikua zina really nice playlist, ata kwenye suala la kuuza singles and albums it was for real.

Tatzo lilianzia baada ya kina lilwayne, Chris brown, usher, neyo, rihana, na wengine kuanza sasa kugawa vijiti kwa hawa wadogo zao wengne wa zama hizi sio wote ila most of them sasa hiv ambao ndio A list wamekua hawatoi hits nzur, ata kama huamin try kuingia hivi sasa kwenye chart ya BILLBOARD angalia jinsi gani katika may be 10 songs ni moja au mbili ndo unaweza iskiliza na kuipenda,..na kama utakua umeliona hili sasa hiv kuna KITU WAMEKIONA KWA WASANII WA AFRIKA na hata huko kwengine kwenye mabara mengine haswa ya amerika kusini na asia.

I think muziki wa Africa sasa unakua sana haswa kwa wenzetu wa NIGERIA walianza mda mrefu kuinvest kwenye muziki wao ..mtu atauliza kuinvest vipi?? Investment kwenye international music ni namna umeweka base kubwa ya watu wa origin yenu kwenye taifa husika la nje, mfano ukienda uingereza, marekani, sjui spain na kwengine kuna idadi kubwa sana ya wanigeria kule tena wana hela na wana influence kubwa ndo mana hata kuna vitu kama shows, colabos kubwa, interviews wanapewa priority kubwa sana sababu wana base kubwa sana kule.

Sasa unakuta promoter mmoja anaset a show yeye anahela na hyo show anaiweka kwenye indoor club kubwa mfano kama O2 ARENA London na show inakuwa sold out sasa mtu akifanya show kubwa hivo msanii yoyote mkubwa akiona anaanza mfatilia vzur ndo mana hawa kina wizkid, Davido, burna boy, tiwa, yemi, omah lay l, fire boy na wemgine wanatoboa Kutokana na wao tayr wamekuta kina psquare, femi kuti, 2face, banky W na wengine walifanya makubwa zaman kidgo ata South Africa pia.

Ila hatujachelewa Marekanj wameona kuna kitu Africa huenda labda sound wameipenda, au nao wameishiwa mbinu, au wanatafuta soko kubwa zaidi Africa but kama kina Diamond, harmonize, alikba, Mario na wengine wakizdi toa INTERNATIONAL SONGS maana hili nalo ni muhimu international songs zinapaswa kua bora na nzur na zenye sound nzuri zina waatract sana nje unakuta wanaomba collabos, na nyimbo zinafanikiwa kuingia kwenye playlist nzuri na chart kama Billboard ata kukata tuzo kama GRAMMY na MTV na nyengine kubwa kama kina wizkid na burna Boy walivyozipata.

Nitarudi kuelezea kuhusu kudorora kwa influence ya Movies marekani nyingi kuwa mbovu na mbaya tofauti na mwanzo na nchi kama SPAIN, INDIA, MEXICO kufanya vizuri.
 
Hizo movie u azozungumzia ni hizo za kikorea, kihindi na kituruki?? Utakuwa sio mpenzi wa movie wewe, suala la movie na ideas za movie plus uhalisia wamarekani hawana mpinzani sio leo wala miaka 20 ijayo.
Kweli kabisa hapo tuwe wawazi Ila tukitaka movie ambayo Hadi adui anachagua Kwa kufa ni India na kwingineko Ila namba Moja anabaki American movies
 
Hizo movie u azozungumzia ni hizo za kikorea, kihindi na kituruki?? Utakuwa sio mpenzi wa movie wewe, suala la movie na ideas za movie plus uhalisia wamarekani hawana mpinzani sio leo wala miaka 20 ijayo.

Hizo nchi alizotaja akiona Movie ya spain au Mexico nzuri ajue ni hao hao Netflix wameenda kutengeneza kule ambao ni US based, tunabaki pale pale, Movies bado sana kuipiku US
 
Izo ni assuption bruh kafanye uchunguziii upya labdaa kama iyo influance imeshuka hapa bongo ilaaa kama ni world wide kafanye utafitiii vzr mmdo urudiiii
 
Nmemshangaa huyu bwana mdogo. Nadhani si mwangaliaji wa movies za maana. Atakuwa anashinda kuangalia sultan au za korea zile za subts. Hakuna wa kumpiku mmarekani kwenye movies au series. Hakuna. Huyu dogo sijui wa wapi
Hizo movie u azozungumzia ni hizo za kikorea, kihindi na kituruki?? Utakuwa sio mpenzi wa movie wewe, suala la movie na ideas za movie plus uhalisia wamarekani hawana mpinzani sio leo wala miaka 20 ijayo.
 
Habari wana JF..

katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa.

Kwanini????
TUKIANZA NA MUZIKI,
Baada ya kizazi cha kina wanamuziki mashuhuri wakiwemo kina Lionel Richie, Michael Jackson, LaToya Jackson, Janet j, Steve wonder, Bruce Williams, Elton john, na wengine wengi kupita wakafata kina tupac, BIG notorious kwenye late 80s hizo halaf kizaz cha rap kikazdi kujua kipind cha kina puff dady, jay z, chamilionaire, dmx, fat Joe, rick Ross na wale best rnbs kina Beyonce, Mary j blige, Ashanti, aaliyah, r Kelly, celine Dion hawa wote na wemgine wengi walikua ni wanamake good hits na zlikua zinafanya marekani iwe tishio kwenye suala la mziki, zile charts kama billboard zilikua zina really nice playlist, ata kwenye suala la kuuza singles and albums it was for real.

Tatzo lilianzia baada ya kina lilwayne, Chris brown, usher, neyo, rihana, na wengine kuanza sasa kugawa vijiti kwa hawa wadogo zao wengne wa zama hizi sio wote ila most of them sasa hiv ambao ndio A list wamekua hawatoi hits nzur, ata kama huamin try kuingia hivi sasa kwenye chart ya BILLBOARD angalia jinsi gani katika may be 10 songs ni moja au mbili ndo unaweza iskiliza na kuipenda,..na kama utakua umeliona hili sasa hiv kuna KITU WAMEKIONA KWA WASANII WA AFRIKA na hata huko kwengine kwenye mabara mengine haswa ya amerika kusini na asia.

I think muziki wa Africa sasa unakua sana haswa kwa wenzetu wa NIGERIA walianza mda mrefu kuinvest kwenye muziki wao ..mtu atauliza kuinvest vipi?? Investment kwenye international music ni namna umeweka base kubwa ya watu wa origin yenu kwenye taifa husika la nje, mfano ukienda uingereza, marekani, sjui spain na kwengine kuna idadi kubwa sana ya wanigeria kule tena wana hela na wana influence kubwa ndo mana hata kuna vitu kama shows, colabos kubwa, interviews wanapewa priority kubwa sana sababu wana base kubwa sana kule.

Sasa unakuta promoter mmoja anaset a show yeye anahela na hyo show anaiweka kwenye indoor club kubwa mfano kama O2 ARENA London na show inakuwa sold out sasa mtu akifanya show kubwa hivo msanii yoyote mkubwa akiona anaanza mfatilia vzur ndo mana hawa kina wizkid, Davido, burna boy, tiwa, yemi, omah lay l, fire boy na wemgine wanatoboa Kutokana na wao tayr wamekuta kina psquare, femi kuti, 2face, banky W na wengine walifanya makubwa zaman kidgo ata South Africa pia.

Ila hatujachelewa Marekanj wameona kuna kitu Africa huenda labda sound wameipenda, au nao wameishiwa mbinu, au wanatafuta soko kubwa zaidi Africa but kama kina Diamond, harmonize, alikba, Mario na wengine wakizdi toa INTERNATIONAL SONGS maana hili nalo ni muhimu international songs zinapaswa kua bora na nzur na zenye sound nzuri zina waatract sana nje unakuta wanaomba collabos, na nyimbo zinafanikiwa kuingia kwenye playlist nzuri na chart kama Billboard ata kukata tuzo kama GRAMMY na MTV na nyengine kubwa kama kina wizkid na burna Boy walivyozipata.

Nitarudi kuelezea kuhusu kudorora kwa influence ya Movies marekani nyingi kuwa mbovu na mbaya tofauti na mwanzo na nchi kama SPAIN, INDIA, MEXICO kufanya vizuri.
Kilichobadilika ni sisi watu wengine duniani kuwa tunasikiliza zaidi nyimbo za kwetu, ila kwao sidhani kama wanaathirika sana.

Maana inatakiwa ukumbuke wasanii wa marekani hawakuwa wakivuna pesa huku afrika huku walileta ushawishi na kufuatilia ila sio kwamba waliingiza ma bilioni kwa kuuza kazi zao huku, Hapana huku ni land of pirates tulikuwa tunafaidi kiburebure CD zao za kopi.

Kwa hiyo Kilichobadilika ni sisi kuacha kuwa obsessed na wa marekani ila sidhani kama wasanii wao kimapato tutawafikia,
Halafu li marekani lenyewe ni linchi likubwa lenye mamia ya ma milioni ya watu, soko la ndani tu la muziki la huko marekani linamfanya msanii kuwa bilionea
 
Habari wana JF..

katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa.

Kwanini????
TUKIANZA NA MUZIKI,
Baada ya kizazi cha kina wanamuziki mashuhuri wakiwemo kina Lionel Richie, Michael Jackson, LaToya Jackson, Janet j, Steve wonder, Bruce Williams, Elton john, na wengine wengi kupita wakafata kina tupac, BIG notorious kwenye late 80s hizo halaf kizaz cha rap kikazdi kujua kipind cha kina puff dady, jay z, chamilionaire, dmx, fat Joe, rick Ross na wale best rnbs kina Beyonce, Mary j blige, Ashanti, aaliyah, r Kelly, celine Dion hawa wote na wemgine wengi walikua ni wanamake good hits na zlikua zinafanya marekani iwe tishio kwenye suala la mziki, zile charts kama billboard zilikua zina really nice playlist, ata kwenye suala la kuuza singles and albums it was for real.

Tatzo lilianzia baada ya kina lilwayne, Chris brown, usher, neyo, rihana, na wengine kuanza sasa kugawa vijiti kwa hawa wadogo zao wengne wa zama hizi sio wote ila most of them sasa hiv ambao ndio A list wamekua hawatoi hits nzur, ata kama huamin try kuingia hivi sasa kwenye chart ya BILLBOARD angalia jinsi gani katika may be 10 songs ni moja au mbili ndo unaweza iskiliza na kuipenda,..na kama utakua umeliona hili sasa hiv kuna KITU WAMEKIONA KWA WASANII WA AFRIKA na hata huko kwengine kwenye mabara mengine haswa ya amerika kusini na asia.

I think muziki wa Africa sasa unakua sana haswa kwa wenzetu wa NIGERIA walianza mda mrefu kuinvest kwenye muziki wao ..mtu atauliza kuinvest vipi?? Investment kwenye international music ni namna umeweka base kubwa ya watu wa origin yenu kwenye taifa husika la nje, mfano ukienda uingereza, marekani, sjui spain na kwengine kuna idadi kubwa sana ya wanigeria kule tena wana hela na wana influence kubwa ndo mana hata kuna vitu kama shows, colabos kubwa, interviews wanapewa priority kubwa sana sababu wana base kubwa sana kule.

Sasa unakuta promoter mmoja anaset a show yeye anahela na hyo show anaiweka kwenye indoor club kubwa mfano kama O2 ARENA London na show inakuwa sold out sasa mtu akifanya show kubwa hivo msanii yoyote mkubwa akiona anaanza mfatilia vzur ndo mana hawa kina wizkid, Davido, burna boy, tiwa, yemi, omah lay l, fire boy na wemgine wanatoboa Kutokana na wao tayr wamekuta kina psquare, femi kuti, 2face, banky W na wengine walifanya makubwa zaman kidgo ata South Africa pia.

Ila hatujachelewa Marekanj wameona kuna kitu Africa huenda labda sound wameipenda, au nao wameishiwa mbinu, au wanatafuta soko kubwa zaidi Africa but kama kina Diamond, harmonize, alikba, Mario na wengine wakizdi toa INTERNATIONAL SONGS maana hili nalo ni muhimu international songs zinapaswa kua bora na nzur na zenye sound nzuri zina waatract sana nje unakuta wanaomba collabos, na nyimbo zinafanikiwa kuingia kwenye playlist nzuri na chart kama Billboard ata kukata tuzo kama GRAMMY na MTV na nyengine kubwa kama kina wizkid na burna Boy walivyozipata.

Nitarudi kuelezea kuhusu kudorora kwa influence ya Movies marekani nyingi kuwa mbovu na mbaya tofauti na mwanzo na nchi kama SPAIN, INDIA, MEXICO kufanya vizuri.
Kuna kipindi kilikuwa kinaitwa weekend top 30 cha mtangazaji Ryan Seacrest pale kiss fm, ilikuwa moto sana.
 
Ni ukweli, Marekani wameshuka sana kwenye sanaa, Wahindi, Wakorea, Waturuki wamekua wanawakimbiza sana kwenye nchi za Africa na Asia, Dominance yao imebakia nchi za ulaya na America tu ambapo nako inaendelea kupwaya.
 
Ila Marekani bado wana influence, hao wengine wanaoibukia wakora waturuki etc, hawana tuzo zinazofuatiliwa, mastar wao hawana ushawishi wa kufuatiliwa kama wamarekani hiyo inatokana na tamaduni zao ni tofauti mno na Afrika, kwa upande mwengine ni rahisi mno ku relate na Wamarekani, wanaongea english, mastar wao ni wa rangi na asili tofauti, wana cool factor, hao wengine ni kama wanaiga umarekani

Pia wamarekani wa a platform za kusambaza kazi zao za sanaa duniani kuliko nchi yoyote, manetflix, youtube, nk yote ni madude yao

Marekani hajapoteza influence ila tu nchi nyengine zimeimprove kwenye kazi zao
 
Back
Top Bottom