Kushuhudia mkeo anapojifungua .

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,024
1,232
Ni jambo jema na iwe sheria kwa Wanaume wote ili waone uchungu na anavopata tabu sio kuleta madharaudharau kwa kinamama.
 
Ni jambo jema na iwe sheria kwa Wanaume wote ili waone uchungu na anavopata tabu sio kuleta madharaudharau kwa kinamama.
yeye atazaa kwa uchungu..her business
kwani na mimi si natafuta kwa jasho langu..so you mean tuanze kuwashirikisha wake zetu kwenye kutafuta tonge na wao
acha kuwaza ka mkeo mkuu..itakua unashinda sana na mwanamke wako ndo mana mawazoo kama haya yanazaliwa..
toka nje ...ka jichanganye na wenzio kidogo ase
 
Theater wanaruhusu mtu baki asiye tabibu kushuhudia upasuaji kwa ajili ya kumtoa mtoto tumboni aingie?
 
Back
Top Bottom