Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 2,064
Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini.
Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono
kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio ya kuhujumiana wazi wazi itakuwaje kwenye Uchaguzi Mkuu?
Kuna umuhimu kutafakari Kwa kina na kuunga juhudi ili mnyukano ukaanzie kwenye chama tawala chenyewe.
Kwa hali ilivyo, Tz hakutakuwa na uchaguzi kwa kipindi chote cha serikali ya awamu ya tano. Kinachofanyika ni kutimiza wajibu tu ilhali viongozi wote wakiteuliwa na chama kimoja. Hapa namaanisha ukishateuliwa na hicho chama wewe tayari ni kiongozi tu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA