maccm haya hayajielewi lakniTulikuzwa na kulelewa kuwa Tanzania ni yetu sote na kwamba Tanzania ni moja na sisi ni ndugu, tulikuzwa katika kuondoa tofauti zetu na kusameana wakati wa shida na raha.
Leo imekuwaje tukio la kuugua mwenzetu Nairobi wafanyakazi wenzake wameshindwa kwenda kumjulia hali?Viongozi wa kitaifa wakiwemo wastaafu mmeshindwa kweli kufika Nairobi hadi Leo?
Endapo baba au mlezi akijitenga na mwanaye hasa kwenye matatizo inaleta picha gani kwa ustawi wa familia husika?
Nijuavyo ugonjwa hauna dini,kabila,ukanda,rangi wala itikadi. Mkishindwa katika hili na mkae kimya katika yote.....
by tundu lisu MACCM , YANAJIRNDEA TU. lakini hao maccm ndo yaliyompatia msaada mapka nairobi