Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,244
2,000
Achaneni na wapinzani, leteni maendeleo ya vitu na watu. Pandisheni mishahara na madaraja ya watumishi wa umma, hela ziingie kwenye mzunguko.

Acheni biashara ifanywe na private sector ili kuleta mzunguko wa hela mtaani, hakuna haja kila mradi wa serikali ujengwe na JKT au TBA. Mambo ya kuwakamata wapinzani hayasaidii maendeleo
Yote umeongea sahih ila kwenye miradi acha tu suma waendelee kujitolea kuifanya for cost saving
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,228
2,000
Wadau, amani iwe kwenu.

Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa.

Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi.

Wananchi wakiguswa hata utumie vifaru huwezi kuwanyamazisha.

Maandamano ya CHADEMA na ACT Wazalendo hayakuwa na hisia za wananchi bali yaliitishwa na watu waliokosa ulaji kupitia sanduku la kura.

Wananchi wanajua wazi kuwa Ushindi wa CCM ni wa halali hivyo wameamua kuwapuuza waandaaji wa maandamano hayo.

Maandamano ya CHADEMA na ACT Wazalendo hayakuwa na hisia za wananchi bali yalisukumwa na genge la watu lililokuwa linapigania maslahi binafsi.

Hivyo tunahitimisha kuwa Ushindi wa CCM ni halali kabisa na wananchi wameamua kuwaadhibu CHADEMA na ACT Wazalendo kupitia sanduku la kura na kupitia maandamano feki.

Hongereni sana Waheshimiwa Wananchi. Ninyi ni zaidi ya Wale Wajumbe wa CCM. Mmetuheshimisha Watanzania. Mmewatia adabu CHADEMA na ACT Wazalendo kupitia sanduku la kura na kukataa maandamano yao
Kuna harufu ya mtu kugadafiwa muda si muda....
 

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,159
2,000
Hiyo si ndio ingekuwa sababu nzuri ya kuandamana? Maana kukamatwa viongozi sio jambo dogo, hapo ndio hisia na hasira za wananchi zingeamka.
Lakini imekuwa tofauti
Ukweli ni kuwa hakuna wa kuandamana
CCM ndio inakufa hivyo! Kwa sasa imebaki chama dola.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?

Waoga kuliko kunguru!
 

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
25,367
2,000
Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?

Waoga kuliko kunguru!

Mbona hujarusha picha za leo.. waoga si nyie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. kuna vitu wengine mkiwa munaandika mujisomege.. umeishiwa.. haujatoka kuandamana.. mulitaka kuvizia kuona watu walijitokeza.. kwa lipi haswaaaa.. hao watatu kulamatwa kutaka kufanya fiujo.. si nyinyi benzao mupo au!!!! Mumefungwa miguuu.. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣.. Lizaboni kaandika nondo.. umeweweseka..🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Pokea 1πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ zaidi
Na lavu juu πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
25,367
2,000
Lengo la limetimia ila hamjaelewa mchozo unaoendelea.Endeleeni kuwakamata mtaelewa mkiwa mmechelewa.

Unatia huruma.. 🀣🀣🀣🀣🀣.. pole lwako.. kushabikia viongozi wapenda pesa kwanza.. miaka hata mitank.. sikuona mnawashauri ya maana humu.. zaidi ya fujo fujo na kupinga kila jema alilofanya Mh. Magufuli... halafu hayo kwa nyuma.. munayategemea maishani kwenu..
 

Ngwasa Omuyaya

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,308
2,000
Huna hoja wewe aibu imekujaa kifuani.
Ili ushinde chaguzi unahitaji msaada wa dola.

Huoni wewe ma CCM yako ndiyo mmekosa ushawishi kwenye jamii.

Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado mnaleta ngonjera majukwaani.

Mtanzania mwenye utimamu wa akili hawezi wapigia kura nyie wazandiki.
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,787
2,000
huna jipya
V
Unatia huruma.. 🀣🀣🀣🀣🀣.. pole lwako.. kushabikia viongozi wapenda pesa kwanza.. miaka hata mitank.. sikuona mnawashauri ya maana humu.. zaidi ya fujo fujo na kupinga kila jema alilofanya Mh. Magufuli... halafu hayo kwa nyuma.. munayategemea maishani kwenu..
Hahahaa!MATAGA mnahangaika sana na upinzani utadhani upinzani ndio ilani yenu.

Endeleeni kucheza ngoma ya wapinzani kama wehu!
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,574
2,000
Inamaana kweli hujui kuwa jeshi la Police ndilo lililotishia wananchi wasije kwenye maandamano? Mfano mimi sijaja kwenye maandamano, je inamaana siuungi mkono maandamano? Hii ngoma bado mbichi sana, wazee watafanya usafi mpaka watachoka

Uchaguzi ulikuwa huru na haki, tumuunge mkono mbakaji mkuu atakapoanza kumbaka mwananchi mmoja mmoja.
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,144
2,000
CCM ndio inakufa hivyo! Kwa sasa imebaki chama dola.
Tokea uanze ndoto zako sasa hivi ccm ingebaki mifupa
Chama chenye kuongoza kwa ridhaa ya mamilioni ya Raia kinakufaje
Vijana mlitegemewa baada ya kuangukia pua mjifungie,na kuanzisha tafakuri yakinifu kuona wapi mlikosea,lakini mnashinda mitandaoni kupambana na ccm,bure kabisa,ccm haing'oki kwa kelele na matusi ya mitandaoni
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,891
2,000
Tokea uanze ndoto zako sasa hivi ccm ingebaki mifupa
Chama chenye kuongoza kwa ridhaa ya mamilioni ya Raia kinakufaje
Vijana mlitegemewa baada ya kuangukia pua mjifungie,na kuanzisha tafakuri yakinifu kuona wapi mlikosea,lakini mnashinda mitandaoni kupambana na ccm,bure kabisa,ccm haing'oki kwa kelele na matusi ya mitandaoni
Matokeo anakonda yeye mwenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom