Kushindwa kuwa na marafiki wa rika yangu

Mtoto wa Mbwa

Member
Apr 29, 2012
6
1
Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki. Lakini napokuwa na agemets wangu tunapishana sana mawazo, hata suala la mahusiana naenjoya zaidi nikiwa na mtu anaenizidi umri, tatizo nini??? :fear:
 
Wao ndio walikwambia hivyo kuwa wanaenjoy company yako? Inawezekana saa nyingine kuna sababu kuwa wanafanya hivyo for a change. Wewe hudhani kama wanafanya majaribio na katoto ka umri sio wao, both physical and mental.
 
Sioni kama ni tatizo maana kama unahitaji mawazo mapya au kitu kipya maishani mwako ni lazima ukipate kwa wale wazoefu ambao wameshapitia maisha hayo
Wale wa umri wako unaweza kuwa nao kwenye starehe na kuongelea mambo ambayo yanapita kwa wakati huo na wengine japo sio wote wapo wenye mawazo ya maendeleo pia
So sioni tatizo katika hilo ni namna ulivyo na kitu unachokihitaji kinakupa msukumo wa kumtafuta mtu ambaye ana umri mkubwa kuliko wewe
Na wao wanaelewana na wewe kwa kuwa at least huongei mambo ya vijana wa umri wako ila mnapokuw apamoja mambo mnayoyaongea ni yale ya maendeleo
 
mafagio mengine jaman...yaaan unataka kufagia seblen ndo upitishie fagio chumban uende stoo afu choon ndo uje seblen?
y dont u go strait seblen?

ULIJARIBU KUONYESHA KWAMBA UNA IQ kubwa sana ndo mana auendani kimawazo na agemet wako?:tape2:.
 
Hiyo ni kawaida kwa mpenzi anayekuzidi umri, siku zote wana-treat vizuri sana, kwani wanahofu wakicheza kidogo tu, unaweza kuwakimbia na kuwafuata wa umri wako. Usipokuwa makini hautaweza tena kuwa na mpenzi wa umri wako, hawa wa umri wako hawajui/hawapendi kubembeleza kwa sana. Pia watu wazima wanaogopa kukuelezea matatizo yao hasa ya kiuchumi, lkn dogodogo kwa mizinga, usipime. Hapo ndipo unapoona raha ya waliokuzidi ki umri.
 
Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki. Lakini napokuwa na agemets wangu tunapishana sana mawazo, hata suala la mahusiana naenjoya zaidi nikiwa na mtu anaenizidi umri, tatizo nini??? :fear:

Wataalamu wa Psychology wanasema hiyo husababishwa na distance between you and your parents wakati unakuwa. Hutokea kwa wenye age gap ndogo(1-2years) na wadogo zao, yatima au ambaye wazazi wake walikuwa mbali naye emotionaly wakati mtoto akikuwa. Kwa hiyo mkuu hali uliyonayo inawezekana psychological issue na inabidi udeal nayo psychologically...Anza kujenga uhusiano wa karibu na agemates wako na pia walio chini yako kiumri taratibu then baada ya muda utazoea...Mwanzoni itakuwia ngumu kwa sababu utajudge kwamba upeo wao mdogo but trust me, everyone has something to teach you!
 
Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki. Lakini napokuwa na agemets wangu tunapishana sana mawazo, hata suala la mahusiana naenjoya zaidi nikiwa na mtu anaenizidi umri, tatizo nini??? :fear:
Tatizo wewe si mtoto wa mbwa, kama jina lako lilivyo.
 
Wao ndio walikwambia hivyo kuwa wanaenjoy company yako? Inawezekana saa nyingine kuna sababu kuwa wanafanya hivyo for a change. Wewe hudhani kama wanafanya majaribio na katoto ka umri sio wao, both physical and mental.
madam hiyo pic yako duuuuu...........nimeipenda
 
Nahisi kama nakufananisha aisee. Usije kuwa yule dogo wa kiume wa miaka 26 anayependa kuparamia wanawake watu wazima. Dogo unakaa wapi nikupe mikanda zaidi. Wewe unatokea mkoa gani. Niambie dogo
 
Hiyo ni kawaida kwa mpenzi anayekuzidi umri, siku zote wana-treat vizuri sana, kwani wanahofu wakicheza kidogo tu, unaweza kuwakimbia na kuwafuata wa umri wako. Usipokuwa makini hautaweza tena kuwa na mpenzi wa umri wako, hawa wa umri wako hawajui/hawapendi kubembeleza kwa sana. Pia watu wazima wanaogopa kukuelezea matatizo yao hasa ya kiuchumi, lkn dogodogo kwa mizinga, usipime. Hapo ndipo unapoona raha ya waliokuzidi ki umri.

From experience, nakubaliana na wewe...!
 
Back
Top Bottom