Kushindwa kusave file kupitia mackBook air

Young murrah

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
415
454
Habari za jioni wadau wa jukwaa kuna tatizo limeanza kutokea toka Jana kupitia laptop yangu ya mackBook air apple kushindwa kusave kazi nayofanya kupitia Microsoft office naambiwa no enough space nimejaribu kufuta folder zote lakini bado tatizo ni lile lile naomba mwenye kujua anisaidie solution yake asanteni
IMG_20171103_123954.jpg
 
Back
Top Bottom