Kushindwa kufanya supplementary UDSM

Dr.philosophy

Senior Member
Oct 12, 2012
122
27
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.

Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan.

Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali.

Natanguliza shukran
 
Pole sana.
Toa taarifa mapema, utafanya Special Supp.
Mara nyingi zinafanyika bila kutangazwa kwa wote, wahusika tu ndo huambiwa.
 
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha udsm kwa changamoto za kiafya..Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan..Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali..natanguliza shukran
Aende chuo akajieleze vizuri kuhusu tatizo lake, na aombe kufanya special supplementary ambayo inafanyika chuo kinapofungua
 
Pia unaweza kukausha tu na kufanya mwaka unaofuata ila kuingiza matokeo itakuwa shida, Lecturer hataweza kupakia kwenye ARIS, yatapakiwa kwa milolongo kupitia Utawala wa Chuo.
 
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.

Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan.

Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali.

Natanguliza shukran

Njoo WhatsApp +255753715912
 
Aandike barua ya kuomba kufanya mtihani huo ambao hakuudhuria!

Kwenye barua ataje sababu zilizopelekea asifanye mtihani na aambatanishe supporting evidence kuonyesha kama kweli alikuwa anaumwa!

Supporting evidence ya ugonjwa inayokubalika ni sick sheet aliyoandikiwa na dakatari wakati anaenda kupatiwa matibabu kama hana sick sheet then I'm so sorry for him/her!
 
Hiyo sick sheet ni Kama chet Cha daktari au Ni Nini mkuu
 
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.

Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa kuattend kwenye mtihan.

Sasa naomba kujua Ni hatua gan afuate ili anusurike wakuu..msaada wa mawazo tafadhali.

Natanguliza shukran
Kuongezea kwa waliokushauri wadau wengine..ni kuwa hiyo sick sheet hakikisha inatoka kwenye hospital zinazotambulika, pia ikiwezekana uipeleke kwa daktari mkazi wa hospital ya hapo chuo kikuu ili athibitishe authenticity ya hiyo document, na mwisho hakikisha daktari aliyemuandikia hiyo sick sheet ali recommend mgonjwa apate bed rest! au Exception from duty (ED), wakati mwingine wanaweza kuwa watata wakisema ni kweli aliugua lakini hakuna ushahidi kuwa asingeweza kuja kufanya mtihani, so kukiwa na recommendation ya ED au BR inasaidia sana!
 
Back
Top Bottom