Elections 2010 Kushindwa kuapishwa wabunge wa Mpanda na Nkenge

Igabiro

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
242
225
Tulisikia Mh. Spika wa bunge la Jamhuri wa Tanzania akisema kuwa wabunge hao wataapishwa mwezi wa pili kutokana na sababu ambazo hazieleweki, kwanza kabisa wabunge hao wametangazwa kuwa washindi jumanne ya tarehe 16/11/2010 lakini kwa sababu hawakuwa na masilahi kitaifa tukakimbilia kuapisha haraka sana wabunge watatu aliowateua mh. JK jtano. Hii imekaaje wadau??
 
Makirikiri

Member
Sep 13, 2010
43
70

Hii nchi inapelekwa kisanii sana, JK kashaifanya nchi kama danguro la mganga wa kienyeji... one day yes.
Namshangaa anasema mpasuko wa kidini niu mkubwa sana... najiuliza upi huooo!!! labda kama anampango wa kuuleta yeye atuambie.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
ndo maana watu wenye akili zao timamu wanatoka nje wanaende kuendelea na mambo yao mengine kuliko kumsikiliza huyu mkwere...yaani hili kabila sina hamu nalo
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
Hao ndo CCM bwana mbunge kachaguliwa 2010 anaapishwa 2011
Ila nimefurai kuwa kuna watu hawatakuwemo kwenye baraza la mawazili bse sio wabunge
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,774
2,000
Hao ndo CCM bwana mbunge kachaguliwa 2010 anaapishwa 2011
Ila nimefurai kuwa kuna watu hawatakuwemo kwenye baraza la mawazili bse sio wabunge

kama nani? masha, sofia simba, kamara,chenge etc lazima wamo. Kikwete hana ubavu wa kuwaacha, anawaogopa kama panya anavyomwogopa paka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom