unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,505
- 2,862
Umaarufu wa prof,mange kimambi umezidi umaharufu wa diamond na wema sepetu
Prof,mange kimambi Sasa anajulikana mpaka ngazi ya umoja wa mataifa, umoja wa ulaya,mabara yote yanamtambua prof,mange kimambi
Prof,mange kimambi Leo hii ameweza kuapata umaharufu mkubwa sana afrika na duniani kote Kwa kutetea haki za binadamu akiendelea hivi nyao zake zitafikia anga za kina benazir butho wa Pakistan,mama wini Mandela na mama sunchi wa bama
Kaza buti mama umeshaandika historia
Tunaomba kujua mlioandamana. Mbona mnatokea na ajenda za mlango wa uani.