KUSHINDA MTIHANI BILA MAANDALIZI!! Ni imani za gizani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUSHINDA MTIHANI BILA MAANDALIZI!! Ni imani za gizani.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kasheshe, Aug 23, 2010.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nimeendelea kufungua threads nyingi za uchaguzi na kuzisoma, kinachonishangaza ni watu wengi kuwa na imani za gizani, ati CHADEMA ishinde uchaguzi wa kiti cha Urais bila maandalizi! Mimi nadhani hilo likitokea ujue pia hakuna taifa hapa.

  Kuna washabiki wanaamini CHADEMA itashinda urais, kwangu mimi hiyo ni sawa na kwenda kwenye mtihani wa Hisabati bila maandalizi alafu unadhani utashinda.

  CHADEMA yenyewe kwa wakati tofauti wameelezea nia yao ya kusimamisha mgombea urais kwamba ni kwa ajili ya kuongeza viti vya ubunge na sio zaidi ya hapo.

  Hivi nani wa kumsaidia Dr. Slaa kwenye mbio za Urais kama Mnyika, Zitto, Mbowe nk watakuwa busy kutafuta ugali wa 12,000.000/- per month za bunge... CCM ina wabunge ambao wapita bila kupingwa... hivyo wanauwezo wakumsaidia mgombea wao wa urais na wagombea wa ubunge wasiouzika... lets face the facts.

  Hata kama CCM haikubaliki, au haijafanya kitu, lakini wenzenu wanalijua hilo na wamejiandaa kuingia kwenye uchaguzi.

  Strategy ya CHADEMA iwe kuchukua ubunge kwenye majimbo wanapojiamini... lakini waaache kupoteza resources nyingi pale ambapo hakuna tija... maana matokea yake itakuwa mtafaruku baada ya uchaguzi.

  Navitakia vyama vyome uchaguzi mwema... mimi nitakuwa CHINA wakati wa uchaguzi hivyo kura yangu haitakuwepo kwenye hesabu.
   
 2. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Subiri wahafidhina waku shukie kama mwewe na kifaranga
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,954
  Likes Received: 23,625
  Trophy Points: 280
  Sikupingi hoja zako ila hapo kwenye blue naona umeteleza kidogo.

  Kuna wengine wetu hisabati ni sawa mamba kuogelea mtoni........Ziko damuni tu, hamna haja ya maandalizi wala nini.
   
 4. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee watakupa onyo sasa hivi,unachezea chama la waliopitia shule!
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hesabu sawa, lakini Hisabati, Big No.

  Yap, moja ya kitu JK anapenda kiwepo ni kutofautiana mawazo bila kurushiana ngumi!
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Kwani hiyo strategy ya kuongeza wabunge wewe unaionaje hailipi.

  Ukifika huko China msalimie rafiki yangu Hu Jintao au kwa lugha ya kwetu huwa tunamuita 胡锦涛 mwambie anasalimiwa na muumini wao Tingatinga bado anavaa kaunda suti zao ila mambo huku ni magumu sana.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Acheni na nyie woga wa kike leteni nondo si kulia lia tu hapa.
   
 8. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huyoo wa kwanza.....
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  MWANAUME WA SHOKA UTAMTAMBUA PALE ANAPOMALIZA. Kama huamini, waulize akina dada na mashoga....................
   
Loading...