Kushinda kwa idadi kubwa ya Wanawake kura za maoni CHADEMA, Kiashiria kikubwa cha Rushwa

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Habari wanajamvi.

Nimekuwa nikitafakari kwanini kumekuwapo na idadi kubwa ya wagombea wakike waliopita na kushinda kwenye vinyang'anyiro vya nafasi ya Ubunge kupitia CHADEMA kwenye kura za maoni. Nikadhani labda Wanaume wamekuwa waoga sana wa kukumbana na sekeseke za unyanyasaji, uonewaji, ubambikiwaji kesi na vitisho kutoka chama tawala kupitia vyombo vyake vya Dola.

Ila baada ya kushuhudia moja ya chaguzi ya kumpata muwakilishi wa chama katika nafasi ya ubunge kwenye moja ya jimbo mkoani fulani hapa Tanzania, nikagundua kuwa Uwingi wao umechangiwa pakubwa na rushwa ambazo zimekuwa zikitembezwa kwa baadhi ya wajumbe wapiga kura kutoka kata mbalimbali. Ushindi wao umechangiwa pakubwa na uwezo wa kifedha na wala sio mvuto wa kisiasa kutoka kwa wadau, wananchi na wanachama kwenye sera zao.

Ndio maana idadi kubwa ya walioshinda ni wale waliokuwa wabunge wa viti maalumu katika bunge lilipita. Uwezo wao wa kifedha umetokana na posho, mishahara na viinua mgongo kutoka bungeni, ambapo walijipata wakiweza kushinda kirahisi sana kwenye vinyang'anyiro hivi.

Ninawashauri CHADEMA waweke utaratibu mpya utakao hakikisha mazingira sawa kwa watia nia ili mshindi awe ametokana na matunda ya kidemokrasia na sio matunda ya kiasi cha njaa kilichopo kwenye matumbo ya wajumbe wanao piga kura. Vinginevyo CDM ijiandae kuoteza idadi kubwa ya viti vya uwakilishi vya ubunge kwa kuwasimika wabunge waliopenye kupitia rupia zao.

Naishauri kamati kuu iangalie k jicho la kipekee watia nia hawa wa kipindi hiki waliochaguliwa kwenye majimbo yao. ikiwezekana hata kulazimisha baadhi ya chaguzi kurudiwa pale palipoonekana na ukiukwaji wa taratibu za msingi.
 
Umepeleka ushahidi wako PCCB au ndiyo umekuja kulia lia hapa JF?
 
Hivi si nyie ccm mlizuia uchaguzi wa wabunge wa afrika mashariki kwa kisingizio kuwa chadema haikuweka wagombea wanawake? iweje tena leo mnalialia baada ya chadema kuwapa nafasi wanawake?
 
Back
Top Bottom