Kushikwa Ugoni: Ukimfumania mtu na mpenzi wako utamfanyia unyama huu?

Inafaa kupeana mbinu wengine ndio tunaelekea ukubwani na mambo yameanza kujitokeza ,hapo mwanzoni nilikuwa siamini ,lakini mwalimu wetu pale shule ya msingi Daluni alituona tunamikakati na watoto wa kike ,siku moja akatutolea uvivu na kutuambia tusifanye haraka ,wakati ukifika watatufuata wenyewe na tutayachoka ,ila ndio hivyo mtu mzima dawa ,ule ukweli ndio nauona sasa unaanza kunijongelea.

Ili kupeana mawazo hapa Jf unaushauri gani ikiwa utabambwa au kwa kiswaili kingine utafumaniwa na kifaa cha watu?
 
Mwezi wa Ramadhani wewe, kufumaniwa na wake za watu wewe!. Imekaaje hii?
 
Mwanangu dini na dunia ,mambo mingine ukifaliki huyapati tena :D ,sasa hapa ni lazima utumie qudratic equation katika kubalance mambu,afu madaktali wanasema kinga bola kuliko kutibu ,ndio nimo katika kutafuta na kuisaka kinga ,we vipi unachanganya mambu ,unashindwa kupambanua shoki shoki na doriani ,unaona yote yana miba ,tatizo watu wa bara tofauti na watu wa pwani mnashindwa kabisa kutofautisha pweza na ngisi.

Unajua milango ya dini ipo wazi na milango ya dunia ipo wazi ,sasa wewe upo kwenye chumba gani ,hivyo ni lazima ujuwe mambo ya humo chumba ulichokuwemo ,sa ilo utaita kosa ? tatizo unaonyesha umechanganyikiwa ,ikiwa nitakwambia maji ni chakula lazima utabisha tu ,utaniambia maji ni kinywaji ,hapo si ndio unaona unavyochanganyikiwa.
 
Sasa wewe unatafuta ushauri au vijembe?
 
Last edited:
Sasa wewe unatavuta ushauri au vijembe?
Ushauri ila jamaa amenishangaa kuniona nipo duniani ,au hujamuelewa ?soma tena utaona ngabu zake ,msamiati na ilani alizotowa ,ameandika mistali mmoja lakini una kina kilefu ,nimefanikiwa kuona alichoandika ndio ukaona nimemufahamisha ,unajua watu wengine wakikuona umezaliwa nansio Ukerewe pale kijijini Murutunguru wanakuona ni mshamba,mi nimezaliwa Mwanza,huko kisiwani Ukerewe pale Nansio katika kijiji cha Murutunguru ,inakubidi upitie Bunda ikiwa utatumia usafiri wa magurudumu ,sasa isiwe nimetoka kote huko ukafili sielewi kiswahili.
 
Mwanangu dini na dunia ,mambo mingine ukifaliki huyapati tena :D ,sasa hapa ni lazima utumie qudratic equation katika kubalance mambu,afu madaktali wanasema kinga bola kuliko kutibu ,ndio nimo katika kutafuta na kuisaka kinga ,we vipi unachanganya mambu ,unashindwa kupambanua shoki shoki na doriani ,unaona yote yana miba ,tatizo watu wa bara tofauti na watu wa pwani mnashindwa kabisa kutofautisha pweza na ngisi.

Unajua milango ya dini ipo wazi na milango ya dunia ipo wazi ,sasa wewe upo kwenye chumba gani ,hivyo ni lazima ujuwe mambo ya humo chumba ulichokuwemo ,sa ilo utaita kosa ? tatizo unaonyesha umechanganyikiwa ,ikiwa nitakwambia maji ni chakula lazima utabisha tu ,utaniambia maji ni kinywaji ,hapo si ndio unaona unavyochanganyikiwa.

Hiki kiswahili cha Pwani kimeniacha hoi! Kwa mtaji huu ..itakuwa ngumu kutofautisha siyo siri.
 
...Ili kupeana mawazo hapa Jf unaushauri gani ikiwa utabambwa au kwa kiswaili kingine utafumaniwa na kifaa cha watu?

...jifanye kushangaa shangaa tu, huenda ukahurumiwa 'labda' hamnazo!
 
Mwanangu dini na dunia ,mambo mingine ukifaliki huyapati tena :D ,sasa hapa ni lazima utumie qudratic equation katika kubalance mambu,afu madaktali wanasema kinga bola kuliko kutibu ,ndio nimo katika kutafuta na kuisaka kinga ,we vipi unachanganya mambu ,unashindwa kupambanua shoki shoki na doriani ,unaona yote yana miba ,tatizo watu wa bara tofauti na watu wa pwani mnashindwa kabisa kutofautisha pweza na ngisi....

“Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya”
Q 17: 32

Uislamu umefanya ndoa kuwa ni nyepesi kutekelezeka hivyo ni kwa vijana na wasichana wasijipeleke katika mambo ambayo yanaleta matamanio badala yake waoane na hili linapunguza mengi na pia kujiondoa na mengi yaliyo machafu na ya uasherati.

Na Mtume ametupatia kinga pale alipowahutubia vijana:

“Enyi kongamano la vijana! Yule mwenye uwezo wa kuoa na afanye hivyo, kwani hilo linamfanya ainamishe macho yake na inahifadhi utupu wake. Ama kwa yule asiyeweza basi afunge, kwani kufanya hivyo ni kinga kwake”
(al-Bukhari).

“Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Allaah, ikiwa nyinyi mnamuamini Allaah na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini”
Q 24: 2

Tufahamu kuwa hii ni adhabu kwa wanaofanya hivyo ikiwa hawajaoa au kuolewa.
 
Mimi nikifumania tunaachana sina haja ya kupoteza muda wangu wa kukimbizana na wewe. kama umeniacha ndani na kwenda kwa mtu mwingine that means mimi sikutoshi. Hii mara nyuingi inatokea kwa wanaume; hawezi kufikiri kama mwanamke ni bindamu kama wanaume.

Kwa wanawake hata akikukuta live atalia na kurudi nyumbani mbio. Ukirudi yameisha na haulizi. ila mwanaume akukute kata masikio, ngumi na vitu vyote vibaya.

Kitendo cha kuzini nje ya ndoa kwa mwanamke au mwanaume ni sawa, ila kuna ile ya kusameheana yakaisha, kumtia kilema mwenzio unafikiri ndiyo suluhu? Unamtia kilema mwaname mwenzio what about your wife?
 
kwa sasa hivi huwezi kujua utafanya nini? hilo tendo likikutokea ndo utajua utafanya nini
hasira zikishapanda unaweza kufanya jambo baya zaidi ya hilo, halafu baadaye ukajuta
 
Adhabu hii Kwa Kutembea Nje ya Ndoa ni Noma!
2930562.jpg

Taylor akiwa na bango lake Thursday, August 27, 2009 12:14 PM
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani itambidi afikirie mara mbili mbili kutoka nje ya ndoa yake siku nyingine baada ya kupewa adhabu hii kali ya kufedhehesha. Mwanaume mmoja wa nchini Marekani alilazimika kukubali adhabu ya kufedhehesha baada ya mkewe kumnasa akiisaliti ndoa yao.

William Taylor alilazimishwa na mkewe kusimama kwenye maungano ya barabara kuu ya Tyson’s Corner karibu na kituo cha basi kwenye eneo ambalo liko bize sana nyakati za asubuhi na jioni katika mitaa ya Washington D.C huku akiwa amebeba bango linalosema "Nilitembea nje ya ndoa na hii ndiyo adhabu yangu".

Adhabu hiyo ambayo ameanza kuitekeleza jana ili aweze kusamehewa, Taylor alisema kuwa ataendelea kusimama na bango hilo kwenye eneo hilo kwa wiki nzima.

Taylor alikuwa akiwaambia wapita njia kuwa mkewe aliamua kumpa adhabu hiyo baada ya kupata ushahidi wa kutosha kupitia simu yake kuwa alikuwa akiisaliti ndoa yao.

"Mwanzoni nilifikiri alikuwa akinitania, lakini alisisita kuwa lazima nifanye hivyo kama nataka kusamehewa" alisema Taylor akiongea na mtangazaji wa televisheni ya FOX 5.

"Niliona bora nifanye anavyotaka ili niweze kuikoa ndoa yangu, na ndiyo kama unavyoniona hapa" alisema Taylor.

Taylor huanza kusimama kwenye eneo hilo mida ya asubuhi kuanzia saa tatu na husimama hapo kwa masaa mawili.
 
Ila ingekuwa bomba kama angemwambia wasimame pamoja na huyo nyumba ndogo yake ili wezi wote wawili waumbuke! Nadhani bado haitoshi. Kumwibia mtu chake si mchezo bwana!
 
Acha bana hizo...we cyo mwizi....
 
Back
Top Bottom