Kushidwa uchaguzi wa Rais 2010, kunamtesa sana Jakaya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushidwa uchaguzi wa Rais 2010, kunamtesa sana Jakaya Kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamtoro, Mar 4, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Dhambi ya uchakachuaji matokeo, kwamtesa sana Jakaya kikwete.
  Kitu kidogo tu, presha inampanda, presha inamshuka.

  Maandamano ya Chadema, dhahiri shari, akushinda uchuguzi.

  Chanzo cha habari, Usalama wa taifa
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  tehe tehe!
   
 3. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwambie akamwone Shekhe Yahya,atampa dira na kumshauri nini cha kufanya...!!
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nazani akienda kwa SHekh Yahya atamwambia ahame nchi!
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa anazeeka!
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama kweli amechakachua lazima presha imemsumbue.............. idadi ya watu wanaoilia CDM ni hatari kwa afya yake.
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni kweli lazima ateswe uwizi si mzuri jamani.
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  na ndo kwanza 2011!
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  shekha yahya alsiema serikali yake itaangushwa labda mkwere huwa anamwamini ndio maana anatetemeka kwa sasa badaya ya kuwazia namna ya kuinua kipato cha wananchi wake na kutekeleza ahadi zote za CCM ikiwemo vibajaji,ajia,viwanja vikubwa vya ndege wkt hatuna ndege hata moja,obama kumwaga misaada mingi tanzania nk nk.mhhhhhhhhhhhh
   
Loading...