Kusherehekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika bila ya kuwajua waliopigania Uhuru huo

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,887
30,233
KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO

Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Makala hizi jumla yake ni 27 na zinaeleza historia ya Waafrika wa Tanganyika kwa kipindi cha takriban miaka 100 toka walipounda African Association 1929 hadi kupata uhuru 1961 chini ya TANU hadi sasa kuna CCM na vyama vingine.

Historia inakwenda hadi mwaka wa 1964 Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuwa nchi moja Tanzania baada ya mapinduzi.
Jana DW Online TV walinihoji kuhusu hii miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.

Mtangazaji Ahmed Juma swali la kwanza aliloniuliza ni kuhusu maendeleo.
Nilikataa kujibu swali hili.

Nilimuomba mtangazaji tujadili kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika kama njia ya kuwaenzi wale wote waliopigania uhuru huu lakini kwa bahati mbaya hawajulikani wala hawatambuliki sasa nchi iko huru miaka 60.

In Shaa Allah nitahitimisha mfulilizo wa makala hizi nilizokuwa naweka hapa kwa kipindi hiki cha DW Online TV baada ya kipindi kuwekwa hewani.

Makala zilizopo:

1. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda, Julius Kambarage Nyerere Katika Nyaraka za Sykes
2. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: tunamuenzi John Godfrey Rupia (1904 - 1978)
3. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Kisa cha Julius Nyerere na vilio vya akina mama
4. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika Burma Infantry 6th Battalion Vita Vya Pili vya Dunia na msingi wa TANU 1945
5. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya Ali Msham na Julius Nyerere 1954
6. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Salum Zahoro na Kiko Kids
7. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950
8. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT) 1959
9. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: "Uamuzi wa Busara" kitabu kuadhimisha miaka 50 ya kura tatu 1958
10. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993
11. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Fedha Prof. Kighoma Ali Malima ilipoibiwa wizarani 1994
12. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Yaliyomfika Prof. Kighoma Ali Malima hayajamkuta kiongozi yeyote katika historia ya Tanzania
13. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Abdul Sykes, Japhet Kirilo na Earle Seaton The Meru Land case, 1952
14. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Kwa nini tumewasahau mashujaa wetu?
15. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Gumzo la Mohamed Ghassani
16. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika
17. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Kura Tatu na Uamuzi wa Busara wa Tabora 1958
18. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Athmani Matenga Mwanachama wa TANU 1954 tawi la Ali Msham Magomeni Mapipa
19. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Masahihisho gazeti la Daily News kuhusu mikutano ya siri ya TANU
20. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya Haruna Taratibu na Omari Suleiman 2
21. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Historia ya Haruna Taratibu na Omari Suleiman katika Uhuru wa Tanganyika 1
22. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Mama na Mwana Wapigania Uhuru wa Tanganyika - Mwamtoro bint Chuma na Sheikh Haidar Mwinyimvua
23. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma ndiyo iliyobakia na historia ya TANU
24. Uhuru wa Tanganyika 1961: Watoto wa wapigania uhuru wanapoingia kwenye masanduku ya marehemu wazee wao
25. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Abbas Max (1918 - 1993)
26. Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Mama Maria Nyerere na Mabuibui Katika Mikutano ya TANU Mnazi Mmoja

May be an image of 2 people, people sitting and indoor
 
Pongezi nyingi sana kwako
 
Na walewale wazee wa gerezani?
Inside 10,
Wako wengine huenda hujapata kuwasikia.
Nakuwekea historia ya marehemu Ali Mohamed Maed kutoka Monduli:

1639911028542.png

ALI MOHAMED MEAD ALITOA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU MONDULI
Watoto wa wapigania uhuru wa Tanganyika wamehamasika sana kuingia katika nyaraka za marehemu wazee wao kutafuta historia zao.

Nimepokea picha kutoka kwa mtoto wa Mzee Ali Mohamed.

Picha hiyo hapo chini ya kwanza inamuonyesha Mzee Ali Mohamed Mead wa Monduli akiwa kwenye foleni ya kupiga kura akiwa na Edward Sokoine.

Huu ulikuwa uchaguzi wa mwaka wa 1980.

Hapo Sokoine amemtamguliza mbele Mzee Ali ili awe mtu wa kwanza kupiga kura kwa kutambua mchango wake katika chama kwani kampeni za uchaguzi Monduli zilikuwa zinaanzia nyumbani kwake.

Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara.

Mali hii aliitumia bila choyo katika kutafuta uhuru wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom