Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Ritz wewe umejuaje hayo, hiyo ni crucial information??????????Kafulila, ndio aliompeleka Chadema marehemu Regia Mtema...
Ritz wewe umejuaje hayo, hiyo ni crucial information??????????Kafulila, ndio aliompeleka Chadema marehemu Regia Mtema...
Kwa hiyo?
Ritz wewe umejuaje hayo, hiyo ni crucial information??????????
Nimekuwapo kwenye viwanja vya Karimjee katika kumuaga Shujaa wetu Mh. Regia Mtema. Ni viongozi wengi walikuwapo, kuanzia wa Serikali pamoja na Waziri Mkuu ni Makamu wa Rais. Pia Mawaziri, Wabunge, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa Majeshi ya Polisi, n.k n.k.
Kilichonishangaza ni pale yalipokuwa yanasomwa majina ya Wawakilishi wa vyama vya Siasa ambao watalipiwa na Ofisi ya Bunge na kwamba wameteuliwa na Bunge kuwakilisha kwenye Mazishi hayo huko Ifakara. Pamoja na Kutajwa majina ya Wabunge mbalimbali wa CCM na Upinzani, Viwanja viliripuka pale Jina la Kafulila lilipotamkwa kama mmoja wa Wabunge watakaoiwakilisha NCCR Mageuzi kwenye Maziko hayo.
Bado najiuliza, Je kushangiliwa kwa Mh. Kafulila, kulikuwa kunatoa Ujumbe gani kwa akina James Mbatia ambaye tulikuwa nae pale viwanjani?
Mwenye
Macho haambiwi Ona![/
COLOR]
Tembea uone. Kuna baadhi ya makabila wanashindilia kaburi kwa wanacheza ngoma juu yake!shangwe na vigelegele msibani!?@*!?
Magamba utamjua tu.Asipofitinisha chadema hapati amani
Kafulila, ndio aliompeleka Chadema marehemu Regia Mtema...
Suala la KAFULILA ni gumu kulizungumzia kwani kwa wengine wataanza kuona nimefika mbali sana. Ndugu yangu Tanzania tuna ombwe la vyama vya siasa upande wa upinzani. Viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wamejaa ubinafsi na ubwana mkubwa tupu. Mfano CUF una habari ktk maamuzi maalimu Seif na prof. Lipumba wanajifanyia kama "kampuni yao". Ona namna RASHIDI M. Walivyomtoa sadaka kwa zengwe na fitna za wazi. Kumbuka pia prof. Abdala safari alichofanyiwa ktk uchaguzi uliopita wa kumchagua mwenyekiti taifa. Nenda CHADEMA pale bwana mdogo Zitto alipotaka kuchukua nafasi ya "CHIFU". Ah! Inatosha ndugu yangu. Bad naration but fact.
......kwamba uamuzi wa akina MBATIA waliouchukua dhidi ya KAFULILA ni batili.
Dats ryt bati una uhakika gan? Kwani hata we si umesimuliwa na zitto 2! Enewei hata hivyo ukweli utabaki pale pale kuwa kafulila ni mpigaji mzuri sema2 ktk harakati zake huwa anamis nidhamu, kwani ye mwenyewe kipindi yupo CDM aliwahi kumwambia chacha wangwe dat" NIDHAMU BILA DEMOKRASIA NI UDIKTETA, but DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO" Most z dat kafulila ajirmynd mwenyewe juu ya hii kauli aliyomuonya chacha wangwe zen he wl mec gud again moa zan past. Keep it up KAFULILA.