Kushamiri kwa ujangili- jk tuma vikosi jwtz vyenye siraha nzito kukomesha hilo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushamiri kwa ujangili- jk tuma vikosi jwtz vyenye siraha nzito kukomesha hilo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by saggy, Jul 6, 2011.

 1. s

  saggy Senior Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Leo Magazeti mbali mbali yameripoti kuhusu kiloo cha Mkurugenzi mkuu wa TANAPA kushamiri kwa vitendo vya Ujangili vinavyoshamiri katika Hifadhi zetu za Taifa,sasa ni wakati mwafaka wa Kutongoja ajenda hii kuchukuliwa na Wanasias.

  Nafahamu Mh. Rais JK na AMRI JESHI WETU MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA nanafahamu hatua za Kuchua.Tunamwomba Atume vikosi vya JWTZ vyenye siraha kali na nzito kufanya kazi haraka ya kusambaratisha magenge ya Majangili hayo.Mbuga 15 ni chahe sana.Kazi hii ni ndogo sana,nina imani kubwa na JWTZ ,Moja ya Majeshi imara sana na ya Kuaminika Kusini mwa Janga la Sahara.

  Wanasiasa ,tafadharini,msichukue ajenda hii Kisiasa na kuanza kuitish kamati.TUMENI MAJESHI HARAKA halafu muendelee baadaye na mijadala ya kujadili.
   
Loading...