KUSEMA KWELI CHUO NI CHUO....CHA UMUHIMU NI KUPATA AJIRA....soma wosia huu

Waambie hao wanaodhani kuna vyuo bora kuliko vingine kwamba ukisoma hapo ajira ni uhakika asilimia mia moja.
''Chuo Cha Muhimbili'' Tatizo Mshahara ni Mdogo Ukilinganisha na Professional yenyewe

Pia Hata Ukisoma Chuo cha Uongo Utapata kazi CCM
 
najivunia kuwa mwanasua tea kozi ya kiume BVM

Ningekushauri usome MD hiyo unayoiita kozi ya kiume subiri uingie mtaani ndio utajua maharage siyo mboga ni dawa ya USINGIZI... Nadhani ulikosa CAREER DEVELOPMENT ADVISOR... napita tu...
 
Ningekushauri usome MD hiyo unayoiita kozi ya kiume subiri uingie mtaani ndio utajua maharage siyo mboga ni dawa ya USINGIZI... Nadhani ulikosa CAREER DEVELOPMENT ADVISOR... napita tu...

kheri yako wewe uliyeshauriwa na carier development advsior mwisho wa siku tutakutana kwenye soko ni hayo tu
 
Harvard university, Yale university then University of Dar es salaam, Dodoma University na Dar Es Salaa Institute of Technology unadhani yupi atapewa kipaumbele? kuna vyuo ni lulu madogo acheni kujijaza upumbavu.........:director:
hapooo!tunaangalia factor1 tu,elimu bora na c bora elimu,kibongobongo ushansoma???
 
Chuo cha Kata UDOM mpoo habari iwafikie kuna ajira zilitoka kwenye Taasisi moja wakasema except UDOM graduate tehe tehe
 
Ningekushauri usome MD hiyo unayoiita kozi ya kiume subiri uingie mtaani ndio utajua maharage siyo mboga ni dawa ya USINGIZI... Nadhani ulikosa CAREER DEVELOPMENT ADVISOR... napita tu...

Hahaa Maharage sio mboga ni dawa ya usingizi....hapo umeniacha hoi mkuu.
 
Back
Top Bottom