KUSEMA KWELI CHUO NI CHUO....CHA UMUHIMU NI KUPATA AJIRA....soma wosia huu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
siku ya leo nataka kuvunja mzizi wa fitina maana humu ndani yametokea mabishano na mada kuhusu
1.baadhi ya watu kusifia vyuo vyao.....
2.baadhi ya watu kuponda baadhi ya vyuo

kusema kweli chuo ni chuo....ili mradi kinatambuliwa na serikali na tcu.....kitu muhimu katika kusoma elimu ya
chuo kikuu ni baada ya kuhitimu uweze kupata ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako...ya badae

so usije ukakariri....kwamba eti mimi nasoma chuo flani ni bola kuliko mwengine cha umuhimu ni kumuomba mungu
upate michongo wa kazi,,,,,usijidanganye eti ya kwamba kisa nimesoma maarufu eti nikimaliza chuo napata kazi hapo hapo kitu kama hichi hakuna............na huu ni wosia wangu........kwani watu wengi tukiwa vyuoni tunadanganyana sana

na mwisho nawahusia ndugu zangu.......ombeni sana mungu mpate michongo ya kazi....mtaani ni kugumu sana
 
hata mgonjwa wa ukimwi akianza kutumia arv huwa anajiona sawa na wengine
 
vipi wewe umepangwa "magulumbasi university" kwahiyo hapa unajifariji na kutafuta wa kukuunga mkono?!
 
siku ya leo nataka kuvunja mzizi wa fitina maana humu ndani yametokea mabishano na mada kuhusu
1.baadhi ya watu kusifia vyuo vyao.....
2.baadhi ya watu kuponda baadhi ya vyuo

kusema kweli chuo ni chuo....ili mradi kinatambuliwa na serikali na tcu.....kitu muhimu katika kusoma elimu ya
chuo kikuu ni baada ya kuhitimu uweze kupata ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako...ya badae

so usije ukakariri....kwamba eti mimi nasoma chuo flani ni bola kuliko mwengine cha umuhimu ni kumuomba mungu
upate michongo wa kazi,,,,,usijidanganye eti ya kwamba kisa nimesoma maarufu eti nikimaliza chuo napata kazi hapo hapo kitu kama hichi hakuna............na huu ni wosia wangu........kwani watu wengi tukiwa vyuoni tunadanganyana sana

na mwisho nawahusia ndugu zangu.......ombeni sana mungu mpate michongo ya kazi....mtaani ni kugumu sana
Mkuu unajua huku jf kuna vijana wengi fresh from school kwahiyo hawana experience ya maisha na wengi wao wanaona wakisoma vyuo fulani basi maisha ndio yamewanyoookea.Kuna wahitimu wengi tu kutoka vyuo wanavyoviona viko juu wako mitaani wanasota na vyeti vyao na kuna wengine kutoka ktk vyuo vinavyopondwa ndio wako kwenye ajira tena wemekamata vitengo nyeti.

Ajira za bongo ni kujuana,rushwa,ukabila na undugunaization.Cha msingi mtu uwe na cheti tu kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.Kama una mtu wa kukubeba unapata ajira na swala la chuo gani mtu umesoma sio issue sana sana serikalini.

kuna mabosi wapenda ngono hawaangalii chuo bali kigezo kwao ni demu mrembo.

Kama interview zenyewe hazifanywi kwa haki ndio watajali cheti.Mtu kwenye interview unaweza ukafanya vizuri kwa kupata maksi za juu ila unaweza ukapigwa chini na akachukuliwa mtu aliyepata maksi za chini kwenye hiyo inteview moja.
 
Interview hawaangalii maksi tu,Kuna mambo mengi wanaangalia ili kupata the right candidate
 
[/COLOR]

Waambie hao wanaodhani kuna vyuo bora kuliko vingine kwamba ukisoma hapo ajira ni uhakika asilimia mia moja.
 
najivunia kuwa mwanasua tea kozi ya kiume BVM

Utaishia kujidanganya hivyo tu.Baada ya chuo mtaani nako utasemaje maana mnajidanganya mnapokuwa masomoni kozi za kiume.Ukija mtaani kwenye ajira unaanza kulalamika na kujidanganya mimi doctor nimesoma masomo magumu mshahara mdogo,mwenzangu amesoma masomo ya kawaida yuko TRA ananizidi mshahara na maisha yake ni mazuri kuliko yangu. Je ulipokuwa unasoma hukuliona hilo? Acha kujidanganya kozi za kiume kwanza hata mimi sitaki kusikia jamaa yangu wa karibu akifikiria au kumwambie jamaa yake asomee fani hiyo.
 
vijana wngu,nimesha tafuta vijana wa kazi TBS,kwa njia ya interview lakini wengi ni wenye first clas lakin wanakosa nafac,sababu ni kwamba pamoja na cheti,tunakuuliza maswali mengi sana,tunaangalia uvaaji wako,vyeti vyako vya nyuma na extra experience,so unakuta ni mzuri kimasomo lakini hana ujuzi mzuri wa kazi,sasa vijana jitahidini kufaham kila kitu na msaidiane sio kusemana,usimzarau ucyemjua.
 
good safi sana wamezidi asee
 
Back
Top Bottom