Kusamehe si jambo rahisi hata kidogo

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,835
16,696
Mabaharia habari za usiku, wale wadogo mlale huu uzi hauwahusu.

Let's be honest, kusaheme binadamu aliyekuwa anakuhujumu au kukutakia mabaya au kukukwamisha kwa mambo yako ya msingi tena makubwa ya Taifa, ni ngumu sana sanaa.

Mimi niwe mkweli, dunia ya leo kumpata mtu mwenye moyo na roho kama ya Mh. Rais wetu John Magufuli sijui kama wanapatikana hasa kwa ngazi ya Urais.

Kusamehe ni jambo gumu sana hasa likiwa la dhati toka moyoni, mimi siwezi kabisa, mtu anayetaka kunihujumu mimi ningemshughulikia tu nikiwa na ushahidi wa uhakika, yaani siwezi samehe, siwezi.
 
Hata sisi wananchi tuliokuwa hatumwelewielewi siku za mwanzoni ikatupelekea kuongea vibaya juu yake twende tumuombe msamaha, nafikir kila kata ichague mtu mmoja mmoja.
 
Basi tunampongeza kwa ushujaa wake wa kusamehe, awasamehe na wazee wa CCM kwa kuandika barua ya kulalamika kwa vitendo vya musiba
 
Kudukua mazungumzo ni kosa LA jinai. Kumpigisha mtu mzima magoti eti
amekutukana ni udhalilishaji Wa utu Wa MTU. Anayefanya hayo malipo atapewa kabla hajafa. Ila kwa kuwa wore ni Wa kijani shauri yao. Wamemaliza upinzani wacha watesane wao. Itafurajisha " wakimalizana na sisi watakuja kwenu" . Yametimia waadhirishane tu.
 
Back
Top Bottom