kusajili tawi la kampuni

Richard Njau

Member
Jan 12, 2012
48
95
Habari, nina kampuni inafanya shughuli Dar es salaam, nahitaji kufungua ofisi mkoa wa Pwani naomba mwenye ufahamu hatua ninazotakiwa kufanya. asante
 
Tempus Fugit

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
527
1,000
Hauhitaji usajili mpya wa kampuni, kampuni ile ile uliyonayo Dar inaweza kufanya kazi anywhere ndani ya Tz mainland...unaenda na docs zako zile zile za Brela ulizonazo hapo Dar ktk wilaya husika unayotaka ku extend kazi...unawaona watu wa kodi wa wilaya hiyo na watu wa halamashauri for leseni ya biashara.

Vibali vingine vya kazi vitategemea aina ya shughuli unayofanya kama inahitaji vibali toka mamlaka fulani fulani.

Then you are good to go...unaanza kazi.
 
Okay
 
Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
39,034
2,000
Nenda municipal husika sehem uliko utakata leseni ya tawi ...kwa vielelezo vya ofisi kuu mengine utakumbana nayo huko huko
 
MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
1,038
2,000
Wadau naomba muongozo kwa waliowahi kutumia mfumo wa brela kusajili kampuni.

Kuna eneo moja mwanzo kabsa ukianza kusajili.... limeandikwa "Represenation statement" preferred Company secretary au Director.

Swali... hili eneo linamaanisha nini au napaswa kujaza nini??

Asante.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom