Kusaini live mikataba live,dhana ya kubana matumizi iko wapi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,329
Hivi sasa kupitia TBC 1 kuna tukio linarushwa live kutoka Ikulu linalohusu kusaini mkataba kati ya serikali ya India na serikali ya Tanzania, tukio linaloambatana na ziara ya Waziri Mkuu wa India, bwana Narendra Modi.

Swali:Kama tumeamua kubana matumuzi,kwanini karibu kila tukio linalomuhisisha Raisi linarushwa live?

Matukio ya shughuli zinazomuhusu Raisi kama yasingeonyeshwa live, tungekua tumeokoa kiasi gani cha fedha mpaka leo hii?
 
Walishatuona watanzania wapuuzi ndio maana wanatuchezea watakavyo!Sio serikali,sio jeshi la polisi!
 
Hivi sasa kupitia TBC 1 kuna tukio linarusha live kutoka Ikulu linalohusu kusaini mkataba kati ya serikali ya India na serikali ya Tanzania, tukio linaloambatana na ziara ya Waziri Mkuu wa India, bwana Narendra Modi.

Swali:Kama tumeamua kubana matumuzi,kwanini karibu kila tukio linalomuhisisha Raisi linarushwa live?

Matukio ya shughuli zinazomuhusu Raisi kama yasingeonyeshwa live, tungekua tumeokoa kiasi gani cha fedha mpaka leo hii?
Nape angepata nafasi ya kujibu hili swali ingependeza sana
 
Hawa hawabani matumizi bali wanabana wananchi , hivi umemuona katibu mkuu kiongozi alivyo ? Miezi michache tu lakini shavu lishakuwa dodo !
 
We unajua haya mabo si sawa na kwetu huku. Sijui kama wanalipia kitu maana ni vyombo vya habari vyenyewe hujipeleka huko.
 
Back
Top Bottom