Kusaini live mikataba live,dhana ya kubana matumizi iko wapi?


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,730
Likes
64,574
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,730 64,574 280
Hivi sasa kupitia TBC 1 kuna tukio linarushwa live kutoka Ikulu linalohusu kusaini mkataba kati ya serikali ya India na serikali ya Tanzania, tukio linaloambatana na ziara ya Waziri Mkuu wa India, bwana Narendra Modi.

Swali:Kama tumeamua kubana matumuzi,kwanini karibu kila tukio linalomuhisisha Raisi linarushwa live?

Matukio ya shughuli zinazomuhusu Raisi kama yasingeonyeshwa live, tungekua tumeokoa kiasi gani cha fedha mpaka leo hii?
 
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Messages
5,393
Likes
5,399
Points
280
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined May 2, 2016
5,393 5,399 280
Tungeokoa b nyingi sana,lakini hata wewe usingepata cha kupost!
 
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
9,315
Likes
6,302
Points
280
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
9,315 6,302 280
Walishatuona watanzania wapuuzi ndio maana wanatuchezea watakavyo!Sio serikali,sio jeshi la polisi!
 
G

Godfrey-K

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Messages
1,444
Likes
1,909
Points
280
Age
48
G

Godfrey-K

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2016
1,444 1,909 280
Tusubili vituko zaidi, awamu hii.
 
I

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
4,066
Likes
78
Points
145
Age
44
I

IKWETE

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
4,066 78 145
Hivi sasa kupitia TBC 1 kuna tukio linarusha live kutoka Ikulu linalohusu kusaini mkataba kati ya serikali ya India na serikali ya Tanzania, tukio linaloambatana na ziara ya Waziri Mkuu wa India, bwana Narendra Modi.

Swali:Kama tumeamua kubana matumuzi,kwanini karibu kila tukio linalomuhisisha Raisi linarushwa live?

Matukio ya shughuli zinazomuhusu Raisi kama yasingeonyeshwa live, tungekua tumeokoa kiasi gani cha fedha mpaka leo hii?
Nape angepata nafasi ya kujibu hili swali ingependeza sana
 
M

manto

Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
45
Likes
26
Points
25
Age
48
M

manto

Member
Joined Mar 9, 2016
45 26 25
Mzee anaongea kiswahili hatareee wenzake wote hadi MC wana adress in english
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
54,110
Likes
44,554
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
54,110 44,554 280
Hawa hawabani matumizi bali wanabana wananchi , hivi umemuona katibu mkuu kiongozi alivyo ? Miezi michache tu lakini shavu lishakuwa dodo !
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,730
Likes
64,574
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,730 64,574 280
Hawa hawabani matumizi bali wanabana wananchi , hivi umemuona katibu mkuu kiongozi alivyo ? Miezi michache tu lakini shavu lishakuwa dodo !
Alafu eti Kigwangala anatudanganya hata Ikulu wanalia ukata!!Huu ni usani tu!
 
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Messages
4,568
Likes
2,221
Points
280
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2012
4,568 2,221 280
We unajua haya mabo si sawa na kwetu huku. Sijui kama wanalipia kitu maana ni vyombo vya habari vyenyewe hujipeleka huko.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
29,872
Likes
11,744
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
29,872 11,744 280
Mikataba inahusu nini labda kwa mfano?
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,199
Likes
47,981
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,199 47,981 280
Hiyo mikataba wameisoma vizuri? Au wanasaini tu.
 
O

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Messages
1,605
Likes
1,271
Points
280
O

onyx

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2016
1,605 1,271 280
Bajeti ya rais haihojiwi.Usikurupuke
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,223
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,223 280
Sidhani kama Utasikilizwa!
 
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
6,882
Likes
13,966
Points
280
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
6,882 13,966 280
Awamu ya vituko hii na inaongozwa mfalme mtakatifu hahojiwi na yeyote, na hii huwa ni kawaida ya mtu asiyejiamini na aliyeingia madarakani kwa njia haramu
 

Forum statistics

Threads 1,235,725
Members 474,712
Posts 29,232,447