Kusaidiana kwenye ndoa...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wana Jfs nalileta hili ombi nisaidieni kumuelimisha my best friend wangu...

Story yenyewe iko hivi nanukuu tukiwa kama mume na mke tunatakiwa kusaidiana, kwa mfano umeamka asuhuhi umekwenda kazini jana yake umeloweka nguo zenu za ndani asubuhi yake kwa sababu umechekewa kazini ukashindwa kuzifua ukampigia simu mume ambaye yupo likizo ukamuomba akusaidie kufua...akasema sawa uliporudi home ukazikuta kama ulivyoziacha ukaamua umuulize akakuambia tokea asubuhi ashinde hapo home hakuingia bafuni/****** so alisahau hakuziona...mara ugomvi unaanza niache uchafu na mimi ni mvivu sasa hapo ni nani ana makosa...wakati nikiwa kazini nilimuomba anisaidie...na ndoa ni kusaidiana jamani..kuingia tuu chumbani kwetu ambapo ni master afue hizo nguo anaona haya!!please naomben ushauri wenu maana imeniuma sana...

Some advice!

From Friend...
 
huyo mwanmke ni mchafu na anastahili talaka.................. mwanaume afue vitasa???????????????? labda yule wa noname......................... shame shame.............. shameful..............
 
Mimi hufua vitasa vyetu, wife keshasahau hata kufua, lkn wewe mwanaume mbona dudu za wake zenu mnalamba? utasikia jamaa anajisifu tu, lkn kufua panties eti kazi ya mwanamke, shauri yenu wakinipata mwanaume km mie mmekwishaaaaaa
 
Najaribu kuimagine hiyo chupi ya kulowekwa usiku kucha ndipo ifuliwe itakuwa imevaliwa kwa siku ngapi? To me kufua a single chupi ni kazi ya dakika kama tano tu!
 
teh teh, nadhani kusaidiana ni muhimu, ila kuna vitu vingine inabidi ufanye mwenyewe ndugu yangu. siye waafrica usilete mambo ya kizungu.
 
hao ndio huleta mangumi kwenye ndoa zao bila kujua kwa sababu ya uvivu na kuiga mambo ya kizungu wakati wazungu wnyewe walishachanganyikiwa..............

kanza mumewe mstaarabu aliamua kuuchuna tu angekuwa jeuri angempa black and white on the spot na tu-makofi kidogo.................. tumsaidie kukumbuka next time....................
 
Yeah! Vitasa kulowekwa je zile za nje si mnaziweka wiki?! Hapo kuna neno!

Mie natoa msaada wa kufua vitasa lakini ni wakati huo huo wa kuoga sijawahi kuloweka kitasa hata!
 
Wana Jfs nalileta hili ombi nisaidieni kumuelimisha my best friend wangu...

Story yenyewe iko hivi nanukuu tukiwa kama mume na mke tunatakiwa kusaidiana, kwa mfano umeamka asuhuhi umekwenda kazini jana yake umeloweka nguo zenu za ndani asubuhi yake kwa sababu umechekewa kazini ukashindwa kuzifua ukampigia simu mume ambaye yupo likizo ukamuomba akusaidie kufua...akasema sawa uliporudi home ukazikuta kama ulivyoziacha ukaamua umuulize akakuambia tokea asubuhi ashinde hapo home hakuingia bafuni/****** so alisahau hakuziona...mara ugomvi unaanza niache uchafu na mimi ni mvivu sasa hapo ni nani ana makosa...wakati nikiwa kazini nilimuomba anisaidie...na ndoa ni kusaidiana jamani..kuingia tuu chumbani kwetu ambapo ni master afue hizo nguo anaona haya!!please naomben ushauri wenu maana imeniuma sana...

Some advice!

From Friend...

Mkuu hakuna formula fixed kwa mapenzi ya watu wawili, wapo wasiojali na kufikia kuwapa watumishi hivyo vinasa, wapo wanaofua kila wakimaliza kuoga, wapo wanaosaidiana ilimradi mmoja kakuta nguo hizo, wapo wanaoamini ni kazi ya mwanamke na wapo wanaachia waume zao

Ushauri wangu ni kwamba hapo kuna tatizo zaidi ya hizo chupi... communication yao inaonekana kuwa poor na mimi nadhani they need to dig deeper than the "underwear matters"!!
 
I thought the same.
 
huyo mwanmke ni mchafu na anastahili talaka.................. mwanaume afue vitasa???????????????? labda yule wa noname......................... shame shame.............. shameful..............

ajabu yake ni nini? kama namfulia na yeye anaweza kunifulia inapobidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom