kusafisha dollar negatives nijuzeni au natapeliwa!

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
habari wa ungwana!

kuna hili jambo nimekutana nalo linahusu kusafisha dollar negatives au ni utapeli maana nimeface kitu kipya naogopa nisije nikatapeliwa

1.nikweli hii biashara ipo na kama ipo no materal ya aina gani yanatumika kusafisha hizo negative dollar na naweza kupata wapi na bei gani

2.je ukweli upo juu ya hii insu

naombeni msaada wenu kwani nipo njia panda mjasiliamali mwenzenu na mwenye kuweza kujua hii dawa ani pm.
 
Usijiingize kwenye hiyo biashara kabisa utafungwa
 
mimi sina hozo dollar wala siifahamu hii insu vizuri ila ofisini kunajambo lometokea ndio lipo mezani sasa tunataka yujue hii insu!

je hata kama jera lakini si kunawatu eafanya hoyo insu nataka niielewe ipo kweli au magumashi
 
habari wa ungwana!

kuna hili jambo nimekutana nalo linahusu kusafisha dollar negatives au ni utapeli maana nimeface kitu kipya naogopa nisije nikatapeliwa

1.nikweli hii biashara ipo na kama ipo no materal ya aina gani yanatumika kusafisha hizo negative dollar na naweza kupata wapi na bei gani

2.je ukweli upo juu ya hii insu

naombeni msaada wenu kwani nipo njia panda mjasiliamali mwenzenu na mwenye kuweza kujua hii dawa ani pm.

Jela inakuita
 
Uandishi mbovu sana huu.Hii ishu naifahamu sasa sikwambii kutokana na uandishi wako mbovu umeniuzi !!
 
Mie sikwambii kuwa hiyo ni biashara feki mpaka utakaponihakikishia kuwa hutamwambia mtu.
 
Mkuu kwani umewahi ona negative ya TSH au hela yoyote duniani. Hiyo dollar ni picha mpaka iwe na negative. utaibiwa kijinga sana. kimbia hapo hamna dili ni utapeli tu.
 
kaambali utaishia pabaya pia peruzi forum vizuri utakutana na post yenye majibu yako. Tumeshalijadili hili suala hapa, mwisho kabisa unaweza pata msaada wa link yenye mazungumzo kwa mdau atakaejitolea kukupatia.
 
eti dollar negative.. usikute wewe ni mhasibu hapo ofisini washua wanakudanganya uchote hela wakasafishe dollar.. utalala segerea mtu wangu kimbia na kaa mbali na hao jamaa..
 
Hahahahahaha.
Hunipati,naona umeamua kuja kuwatafuta wapiga nega huku,no umebugi men.
Ngoja nikafatilie ziara ya dr wa ukweli kigomaaaaaaaaa.
 
Mie sikwambii kuwa hiyo ni biashara feki mpaka utakaponihakikishia kuwa hutamwambia mtu.

me najua kama huu ni utapeli ila nimeface vi2 vipya!ckutaji me sina mpango nayo mtaji wangu mdogo na ukiangalia family kubwa

sema kuujua ukweli muhimu
 
huo ni utapeli huchezwa na waghana na wanaigeria,pia kuna baadhi ya watanzania wamefunzwa wanaujua,binafsi nimewahi kuibiwa taf,achana nao
 
habari wa ungwana!

kuna hili jambo nimekutana nalo linahusu kusafisha dollar negatives au ni utapeli maana nimeface kitu kipya naogopa nisije nikatapeliwa

1.nikweli hii biashara ipo na kama ipo no materal ya aina gani yanatumika kusafisha hizo negative dollar na naweza kupata wapi na bei gani

2.je ukweli upo juu ya hii insu

naombeni msaada wenu kwani nipo njia panda mjasiliamali mwenzenu na mwenye kuweza kujua hii dawa ani pm.

kaka,huu ni utapeli wa hali ya juu,wanachofanya ni kwamba atakuonyesha anaisafisha moja,nia yao ni kukutoa hela kidogo kidogo mpaka utajikuta uko mtupu,ataanza na kukwambia hela ya kuzileta,mara hela ya dawa za kusafishia,etc.mpaka unakuja kukaa vizuri ushatoa hela nyingi
 
mimi sina hozo dollar wala siifahamu hii insu vizuri ila ofisini kunajambo lometokea ndio lipo mezani sasa tunataka yujue hii insu!

je hata kama jera lakini si kunawatu eafanya hoyo insu nataka niielewe ipo kweli au magumashi

We Mtanzania mwenzetu kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom