Kusafirisha conterner USA TO Tanzania

Richard Nguma

Member
Apr 29, 2011
64
5
Nahitaji kusafirisha machinery equipment kutoka USA kwenda Tanzania, kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia usafiri wa majini kutuma vitu bongo? Ni kampuni ipi wanashiping conterner?
 
Inategema uko sehemu gani ya USA. Kama uko Eastern Coast, kuna jamaa wanaitwa Pacifica Marine, wanafanya hiyo kazi. Walisafirisha container letu mwezi Julya 2012 na limefika Bongo bila tabu. Ingia website yao : www.pacificacfservices.com ili upate habari.
 
Jipange uje ma maswali ya maana ndugu? Kampuni ipi wana "shipping conterner" ndiyo sawli gani?
 
Jipange uje ma maswali ya maana ndugu? Kampuni ipi wana "shipping conterner" ndiyo sawli gani?

Umeelewa hujaelewa? Hiyo spelling haikuwa ishu wala namna ya kuuliza swali pia siyo ishu. Cha muhimu ujumbe umefika.
 
Inategema uko sehemu gani ya USA. Kama uko Eastern Coast, kuna jamaa wanaitwa Pacifica Marine, wanafanya hiyo kazi. Walisafirisha container letu mwezi Julya 2012 na limefika Bongo bila tabu. Ingia website yao : www.pacificacfservices.com ili upate habari.

Jee, hiyo kampuni ni licensed kama Wakala na FMC (Federal Maritime Comission)?

Hilo ni jambo la msingi na muhimu sana, maana kila mtu anaweza kuanzisha "shipping company" bila kutimiza vigezo rasmi vya uwakala. Ikitokea tatizo lolote, wewe kama mteja utaingia hasara, na unaweza kutapeliwa vilevile.
 
Umeelewa hujaelewa? Hiyo spelling haikuwa ishu wala namna ya kuuliza swali pia siyo ishu. Cha muhimu ujumbe umefika.

Kama ningeelewa ningemwomba aweke sawa swali lake?

Utaulizaje "kampuni gani yenye shipping conterner"? Pumbaaf!
 
Swali ulilouliza ni sawa na mtu mwenye kiu anataka kunywa soda, akauliza "Ni duka gani lenye soda?"

OOh kumbe umeelewa mpaka umeamua na kuitolea mfano.
Pili ni kuwa wewe umesema sehemu ya pili ya swali ungesoma post nzima ungeelewa!
Haya sasa umeelewa swali linamaanisha nini mjibu basi...!
 
Umeelewa hujaelewa? Hiyo spelling haikuwa ishu wala namna ya kuuliza swali pia siyo ishu. Cha muhimu ujumbe umefika.
Asante sana kamanda nakupa 100%
Waswahili wanasema kwenye kundi la nzinge na panzi wamo, kwenye kundi la Mamba na mijuzi kafiri wamo, kenge wamo pia
 
Asante sana kamanda nakupa 100%
Waswahili wanasema kwenye kundi la nzinge na panzi wamo, kwenye kundi la Mamba na mijuzi kafiri wamo, kenge wamo pia

Wewe unataka kusafiri na ndege kutoka huko ulipo (whatever neck-of-the woods county you happen to live in, in the USA) hadi Dar es Salaam, halafu unauliza, "kuna kampuni gani yenye ndege?" Hivi unategemea watu wakuelewe kweli?
 
Richard Nguma

machine equipment za aina gani?

je unaweza kupata used hand tools machines kama drill machines, grinder, circular saw, band saw, wet cut, etc genuine brands kama Bosch, Makita au Black & Decker

hizi it i a good business ... fast moving

please pm me if interested tuongee biz serious
 
Last edited by a moderator:
Wewe unataka kusafiri na ndege kutoka huko ulipo (whatever neck-of-the woods county you happen to live in, in the USA) hadi Dar es Salaam, halafu unauliza, "kuna kampuni gani yenye ndege?" Hivi unatege
mea watu wakuelewe kweli?[/R QUOTE]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom