Kurukuu na kuinuka kotoka kwenye rukuu

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
285
Points
250

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
285 250
- Mwenye kuswali atainua mikono yake na alete takbiri hali ya kuinama kwende kwenye rukuu, aiweke mikono yake juu ya magoti yake, huku amekunjua vidole vyake kama kwamba anayashika magoti, asawazishe mgongo wake na kichwa chake katika hali ya kuinama kisha aseme: SUBHANA RABIYAL ADHIIM (Kutakasika ni kwa Mola wangu Aliye Mkubwa)(mara tatu ) [ Imepokewa na Tirmidhi.]
https://www.al-feqh.com/sw/namna-ya-kuswali

- Kisha ainuke na aseme (awe ni imamu au mwenye kuswali peke yake): SAMI’A LLAHU LIMAN HAMIDAH (Mwenyezi Mungu Anamsikia yule anayemsifu) [ Imepokewa na Tirmidhi.], na hapo wote waseme RABANA WALAKAL HAMDUH (Mola wetu! Sifa njema zote ni zako, kujaa kwa mbingu na kujaa kwa ardhi na kujaa vilivyoko baina hizo na kujaa kwa vinginvyo baada ya hizo ) [ Imepokewa na Tirmidhi.].

Na imependekezwa kuweka mikono juu ya kifua kama alivyofanya katika kusimama kabla ya kurukuu.
 

Forum statistics

Threads 1,392,174
Members 528,565
Posts 34,100,930
Top