low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,321
- 1,487
Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kiduniaMkuu una ujuzi huo au ulikodi mtu akakurusha? Kama unao itabidi nikutafute. Teknolojia hii si ya mchezo.
Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kiduniaMkuu una ujuzi huo au ulikodi mtu akakurusha? Kama unao itabidi nikutafute. Teknolojia hii si ya mchezo.
Mkuu unaweza kutupa insight kidogo kuhusu speed ya huo ungo na ulipambana vipi na msuguano wa hewa huko angani?Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kidunia