Kuruhusu mke wako kuwa na mazoea na wanaume ni ubwege wa hali ya juu

Mkuu ni nyumbani kwako ni nyumbani kwa mwanamke,ungetulia tu nyumbani kuongea na wageni kuwajua vizuri, waambie karibuni tena wakati wanaondoka chukua namba na namba zao.
Mkuu ni nyumba ya shirika, ambapo wote (yeye na mimi) tunafanya kazi hapa shirikani.
 
Me juzi kati nimeliamsha.

Jamaa alikosea akatuma hela kwa mama chanja hapa (elf 13, jamaa mwenyewe mchovu tuu). Mama chanja akamrudishia, jamaa akaanza kushangaa (kurudishiwa hela usawa huu), "ooh wewe utakua malaika", "wewe utakua mlokolee", kama mnavyojua vijana tena. Jamaa ni wa mkoani huko ila ni mtu wa safari sana, mara anaanza kumzoea zoea (kwa siku anapiga simu mara nne), utaona mama chanja anasema "huyu naee"; Kuna cku manzi akamwambia msalimie shemej ako, baada ya hiyo siku jamaa alipunguza kasi, akapotea kdogo; mara siku moja manzi kapokea viazi vimetoka njombe huko (eti "komba katutumia"), hapo mimi bata sijui kama waliambizana kutumiana viazi.

Sasa ikapta wiki takriban 3 nikiwa sifatilii wanavyoendelea; ghafla huyu mke wenu ananiambia "eti Komba kasema kesho anawezakuja huku so anataka aje kutufahamu"; me nikaiminya hasira kwa ndani nikasema "sawa". Nashangaa kesho yake jioni mtu haendi fellowship, kuuliza naambiwa sasa komba akija akatukosa jee..

Kufika saa kumi na mbili nasikia watu wanapigiana wanaelekezana, "ukifika hapo kunja kwa hivi, ulizia kwa flani". Mimi ikabidi niondoke (maana kwa hasira pangechimbika), akaniuliza "sasa unaenda wapi wakati wageni wanakuja, me ntaongeanao nini"; nikamwambia siku zote mnapigiana simu mnaongea nn?. Yalikuja majamaa mawili yakaondoka saa mbili kasoro

Ile narudi nyumbani nakuta wamekuka mayai niliyonunua mimi, nilipata hasira sana maana lengo la jamaa liko wazi kabisa lakini huyu mpuuzi ni kama haoni vilee!!!

Long story short:
Havuki 2020 huyu, tutakapofanya uchaguzi, na me ntakua nafanya mabadiliko, ntakuja kuua mwanaume mwenzangu buree....
Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako..mpe onyo kwanzia sasa
 
We hitaki ndugu jamani!!

Back
Top Bottom