British SAS
Member
- Oct 19, 2017
- 60
- 146
Wakuu Media za Tanzania Zimekaa Ki uoga sana Ndiyo maana Barick wamelipasulia huko kwenye Vyombo vya Habari Vikubwa.
Mi naishauri Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ikiongozwa na Msigwa watoe taarifa ya kuwaomba Radhi watanzania kwa kuwaposha kupitia Television ya Taifa na Vyombo Vingine vya Kupashana Habari.
Taarifa itaje waziwazi kuwa Ripoti hiyo iliyomuhusisha Rais ilikua na Mapungufu ili Kumsitiri Rais wetu aliyevuliwa Nguo hadharani na hawa Wazungu.
Najua Parent Company ni Barick ambayo inamiliki 64% ambayo ndo Owner halafu kuna stake ya Acacia ambayo ni 36% nikasikia Tanzania nayo Itakua Ni Partner wa 50% kwa 50% je hapa Barick ndo Ime spilt 64% na Tanzania Kuchukua 32% kwa 32% au?
Faida Upewe 50%
Service Levy Ulipwe
Charitable Organization
Wajenge Miundombinu
Walipe Mirabaha
Barrick Ni mama yetu? Hebu tufikirie.