Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inapaswa kuwa tulivu inapotoa taarifa zake kwa umma

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inapaswa kuwa tulivu inapotoa taarifa zake kwa umma. Kwanza huu siyo mwaka 2016 ni 2018. Pili ni lugha; sidhani kama ni sahihi kusema Rais wa sasa AMEMTUMA mtangulizi wake. Rais Mstaafu ANAOMBWA, hatumwi.
IMG_20180825_113919.jpg
 
Hilo lilishamshinda siku nyingi...
Kwasasa anasimamia zaidi manunuzi ya wapinzani na kuhakikisha nchi inakuwa busy kufanya chaguzi za marudio kila kukicha.
unataka kusema mwanaume anayenunua machangudoa hawezi kuitunza familia yake?
 
Back
Top Bottom