kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Natamani sana niwasikie bush lawers wa michezo waliojazana kwenye vyombo vya habari.
Je, maagizo haya si ni yale yale ya serikali kuingilia TFF?
Je, serikali imetumia kanuni ipi kuwaagiza TFF watangaze kurudiwa kwa mechi?
Kanuni za soka zinasemaje? Kwa nini msiwape Yanga point zao?
TFF ina kwenda kurudia makosa yake?
Hao viongozi wanaoongozwa na kanuni, wamekubalije kupokea maelekezo hayo bila kuyapinga wakiwa kwenye kikao?
Je, timu zikigoma kucheza mechi hiyo kwa kuwa hakuna kanuni iliyotumika kuahirisha mechi, zitakuwa zimefanya makosa yoyote?
Hawa wanaosimamia kwenye kanuni, sasa hivi siwasikii wanajadili kanuni ipi imetumika kuamuru mechi irudiwe, isipokuwa busara tu,kama matumizi ya busara ni muhimu, kwa nini yanga mnawasapoti kutoona busara hizo mapema?