Kurudiwa kwa mechi ya Simba na Yanga, ni kanuni ipi imetumika? Kama hakuna kanuni; je kuna ulazima wa kutii maelekezo?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,636
7,005
Natamani sana niwasikie bush lawers wa michezo waliojazana kwenye vyombo vya habari.

Je, maagizo haya si ni yale yale ya serikali kuingilia TFF?

Je, serikali imetumia kanuni ipi kuwaagiza TFF watangaze kurudiwa kwa mechi?

Kanuni za soka zinasemaje? Kwa nini msiwape Yanga point zao?

TFF ina kwenda kurudia makosa yake?

Hao viongozi wanaoongozwa na kanuni, wamekubalije kupokea maelekezo hayo bila kuyapinga wakiwa kwenye kikao?

Je, timu zikigoma kucheza mechi hiyo kwa kuwa hakuna kanuni iliyotumika kuahirisha mechi, zitakuwa zimefanya makosa yoyote?

Hawa wanaosimamia kwenye kanuni, sasa hivi siwasikii wanajadili kanuni ipi imetumika kuamuru mechi irudiwe, isipokuwa busara tu,kama matumizi ya busara ni muhimu, kwa nini yanga mnawasapoti kutoona busara hizo mapema?
 
Inamaana bado Yanga mna butwaa ya kwenda mchezoni na Simba? 😄😄
 
Tff wasitangaze kurudiwa kwa mechi bila kuweka wazi sababu zilizofanya isichezwe.
 
Natamani sana niwasikie bush lawers wa michezo waliojazana kwenye vyombo vya habari. Je, maagizo haya si ni yale yale ya serikali kuingilia TFF? Je, serikali imetumia kanuni ipi kuwaagiza TFF watangaze kurudiwa kwa mechi? Kanuni za soka zinasemaje? Kwa nini msiwape Yanga point zao? TFF ina kwenda kurudia makosa yake? Hao viongozi wanaoongozwa na kanuni, wamekubalije kupokea maelekezo hayo bila kuyapinga wakiwa kwenye kikao? Je, timu zikigoma kucheza mechi hiyo kwa kuwa hakuna kanuni iliyotumika kuahirisha mechi, zitakuwa zimefanya makosa yoyote? Hawa wanaosimamia kwenye kanuni, sasa hivi siwasikii wanajadili kanuni ipi imetumika kuamuru mechi irudiwe, isipokuwa busara tu,kama matumizi ya busara ni muhimu, kwa nini yanga mnawasapoti kutoona busara hizo mapema?
Hao bush lawyers hapo watapongeza kwa serikali kutumia busara kufanya maamuzi. Hapo hawatazungumzia kanuni. Hapo Hawataihoji serikali kuingilia michezo
All in all, mechi imeamuliwa kuchezwa, Yanga wajipange upya kwa kutafuta kanuni itakayovunjwa ili wasicheze tena
 
Natamani sana niwasikie bush lawers wa michezo waliojazana kwenye vyombo vya habari.

Je, maagizo haya si ni yale yale ya serikali kuingilia TFF?

Je, serikali imetumia kanuni ipi kuwaagiza TFF watangaze kurudiwa kwa mechi?

Kanuni za soka zinasemaje? Kwa nini msiwape Yanga point zao?

TFF ina kwenda kurudia makosa yake?

Hao viongozi wanaoongozwa na kanuni, wamekubalije kupokea maelekezo hayo bila kuyapinga wakiwa kwenye kikao?

Je, timu zikigoma kucheza mechi hiyo kwa kuwa hakuna kanuni iliyotumika kuahirisha mechi, zitakuwa zimefanya makosa yoyote?

Hawa wanaosimamia kwenye kanuni, sasa hivi siwasikii wanajadili kanuni ipi imetumika kuamuru mechi irudiwe, isipokuwa busara tu,kama matumizi ya busara ni muhimu, kwa nini yanga mnawasapoti kutoona busara hizo mapema?
Hapo naona utopolo anatafuta tena upenyo wa kuingia mitini!
 
Inaonekana bado Yanga wana kaugumu kwenye hiyo ishu. Kwenye taarifa iliyotolewa inasemekana Yanga bado wana ukakasi juu ya hilo. Inavoonekana kwenye sakata hili kuna mmoja ana haki ya kupewa points mezani mwingine hana haki hiyo kulingana na kanuni zao.

Sasa kuweka mambo sawa inabidi tu mechi irudiwe kwa maagizo ya serikali. (Sijatumia sheria yoyote ni ushahidi wa kimazingira tu)

Na hiyo mechi sasa kuna uwezekano wa kupangwa kwa matokeo, ili kubalance mzani maana mwenye haki akifungwa shauri atalipeleka mbele zaidi na kuiletea shida serikali na shirikisho kama tujuavyo nguzo hizi mbili haziingiliani kimaamuzi ya soka. (utabiri wangu mechi ikirudiwa ni simba-0 na yanga -0)
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom