Kurudishwa kwa Tuzo za mziki nchini nini Maoni yako?

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,559
18,881
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri?

Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa kwenye mualiko walitoa kabla hawajafanya uzinduzi kama Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize pekee na kwa upande wa wasanii wa kike wameitwa Nandy na Zuchu pekee.

Swali langu kwa kufanya hivi mbona wameonesha ubaguzi wa waziwazi kwanini wachague baadhi ya wasanii wakubwa wakati tuzo ni za wasanii wote hao Diamond,kiba harmonize, Zuchu na Nandy vigezo gani vimetumika kuwaita hawa pekee? Unadhani hawa ndio watawakilisha Maoni ya wasanii wote?

Kwanini Basata wasikae na wasanii wote badala ya kuwachagua wachache Tena wale wakubwa pekee?
 
Serikali na mambo ya burudani wapi na wapi...hii ishu zingeachiwa agency huru, hakunaga kitu cha serikali kikawa na quality
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri?

Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa kwenye mualiko walitoa kabla hawajafanya uzinduzi kama Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize pekee na kwa upande wa wasanii wa kike wameitwa Nandy na Zuchu pekee.

Swali langu kwa kufanya hivi mbona wameonesha ubaguzi wa waziwazi kwanini wachague baadhi ya wasanii wakubwa wakati tuzo ni za wasanii wote hao Diamond,kiba harmonize, Zuchu na Nandy vigezo gani vimetumika kuwaita hawa pekee? Unadhani hawa ndio watawakilisha Maoni ya wasanii wote?

Kwanini Basata wasikae na wasanii wote badala ya kuwachagua wachache Tena wale wakubwa pekee?
Sina maneno mengi kama mdau lemme go straight to the point,maadam wamerudisha tuzo hizo wasiruhusu ushiriki wa asilimia kubwa wa media especially Clouds Media,Wasafi Media,EAST AFRICA TV ingawa media zinaplay part kubwa sana katika utoaji na uandaaji wa tuzo refer BET network,MTV and so on ila media za kwetu huku hazijielewi na ndio chanzo cha kufa kwa tuzo zilizopita kwa kuanza kutengeneza teams zisizo na maana,asante
 
Mwamba umetoa ushauri mzuri Sana naunga mkono hoja yako
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Msanii anayekosa atakwambia "tuzo hazina maana kuna upendeleo", akipata atakwambia "Kazi yangu imeonekana..tuzo imeenda kwa anayestahili".
 
Yote tisa kumi jana wasanii wamepwa mirabaha ila maproducer hawakuambulia kitu, japokuwa walisema kupata mrabaha lazima uwe umesajiliwa na COSOTA ila sitaki kuamini hawa maproducer wakubwa hamna hata mmoja aliye jisajili COSOTA.

Sijui lini maproducer watathaminika.
 
BASATA ...kanyaga kule,hawa ni sehemu kubwa ya tatizo lililoikabili nchi yetu ,tumepoteza ASILI ya muziki wa kitanzania na sasa ukipigwa wimbo huwezi ukautofautiana na nyimbo kutoka Harlem,angalia wenzetu Zimbabwe,Lesotho,Botswana hata SA nyimbo zao zikipigwa huumizi kichwa kujua mziki huu umetoka nchi gani?ohooo wapi Juwata,Sikinde,Tatunane,Dr.Remmy na Matimila,Vijana Jazz mpo wapi?the better part of our life ipo nyuma yetu,Taifa lililopoteza utamaduni wake ni Taifa masikini!SA wapige amapiano na sisi watanzania tupige amapiano ..its rubbish and crazy
 
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri?

Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa kwenye mualiko walitoa kabla hawajafanya uzinduzi kama Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize pekee na kwa upande wa wasanii wa kike wameitwa Nandy na Zuchu pekee.

Swali langu kwa kufanya hivi mbona wameonesha ubaguzi wa waziwazi kwanini wachague baadhi ya wasanii wakubwa wakati tuzo ni za wasanii wote hao Diamond,kiba harmonize, Zuchu na Nandy vigezo gani vimetumika kuwaita hawa pekee? Unadhani hawa ndio watawakilisha Maoni ya wasanii wote?

Kwanini Basata wasikae na wasanii wote badala ya kuwachagua wachache Tena wale wakubwa pekee?
Nami nauliza, kwanini wamechagua bongo fleva tupu wapi dansi & taarab,
Tahasisi= Taasisi
 
Back
Top Bottom