Kurudishwa kwa Fedha za BOT

BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
Jamani naomba kuelekezw hapa
mimi niliwahi kutoa thread hapa kuhusu urudishwaji wa pesa BOT, nikaambiwa sio zenyewe na thread ni chaka, sawa
Lakini mkifuatilia habari ya leo kwenye Alasiri, mtajionea wenyewe, sasa ebu tuambiwe hapa, kwanini
  1. Hatuambiwi nani karudisha kiasi gani
  2. Na anakadiliwa kuiba kiasi gani
  3. Na kwanini kama washawajua hao wezi na wana uhakika nao kwanini wanaendelea kuwaacha huru, wakati uchunguzi ukiendelea, kwani kufanya hivyo ni kuweka vizingiti kwenye uchunguzi
  4. Kwanini majina hayatajwi, wakati wameiba pesa za wananchi, hivyo tunakila haki ya kujua wezi wetu
Naomba mnisaidie mimi sielewi haya mambo ya hii kamati chafu yenye wara rushwa ndani yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom