Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Asante Sana!

Mzizimkavu! Inakuwaje sasa kwa mwanamke mwenye mataitizo kama hayo ama yule asiyetaka kurudia baada ya round ya kwanza ilhali unajua kuwa hakufika kileleni?
 
Hiyo ni kweli kabisa, mapenzi ni hisia na yanataka maandlizi, usafi na utulivu, sasa ndg yangu umeenda na mtu wako kwenye kagest ka shs 3000 kuna baa na mziki unapigwa kwa sauti ya juu unategemea nini hapo?
 
Hapa ndo maana mi iwa nakuwa namiliki mizigo tofauti tofauti nina kiportable,bonge, namba 8 mwenye mfadhaiko, mrefu alafu nakuwa na short chesesi kisha nakuwa na white mwembamba kama wa pale Singida alafu na kuwa na kitu black cha tukuyu mwakareli. Kwa hiyo najinafasi mwenyewe unafanya cycle tu raha jipe mwenyewe.
WOS sitaki kipapatio mie nataka paja mie mambo ya mwambao hayo.


Wow hommie na admaya apetait yako!

Mhhh lazima kande ziko listed kwenye menyu yako!
 
Eeeeeebanaaa, jiunge JF uelimike, Hakika elimu nyingine ndo naipata kwa sasa. Thanks all 4 your contribution
 
ndo manake bibie mashine ikiwa mbovu hailipi kwa mzunguko wa pili dadake.....mtu hata ile ya kwanza anaogelea weee ndio hiop akimaliza kama iliyokutokea akimaliza anasingizia kachoka...
...tiba: zingatieni vyakula vya kufanya mashine iwe mwake.....fanyeni mazoezi ya kubana misuli ya kule kama ukitaka kujua yanavyofanyika uliza....


One more thing plz... CONCENTRATE ON THE ACT...!! hata ukipewa bikra..kama akili hujaipanga kwa hiyo utapiga bao ka kojo la asubuhi tu afu.... full Doro..!!
 
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

ha ha ha tatizo kubwa - anyway inategemea na umri wako - kama upo under 40 yrs, hutakiwi kuwa na tatizo hili, lakini kama upo above 45 jaribu kucheki chakula unachokula, weka mawazo yako hapo hapo kwenye shughuli kwa kuvuta hisia, punguza mipombe kwa walevi, stress, mpendezeshe partner wako avutie ili uvute hisia kwa urahisi.....relax - timiza haya yote utapiga hata manne.

Sex ni hisia tu cheza na brain yako.....
 
ndo manake bibie mashine ikiwa mbovu hailipi kwa mzunguko wa pili dadake.....mtu hata ile ya kwanza anaogelea weee ndio hiop akimaliza kama iliyokutokea akimaliza anasingizia kachoka...

...tiba: zingatieni vyakula vya kufanya mashine iwe mwake.....fanyeni mazoezi ya kubana misuli ya kule kama ukitaka kujua yanavyofanyika uliza....

Mi nimeipenda hii, pia umesahau kaharufu kutoka down.Tight and dry mashine ni noma unaweza ukatoa uhai wote.Mi nina shida moja, nikipiga na ndomu basi ni kagoli kamoja usiku na kesho asubuhi kile cha kuinua mioyo, ila kwangu naona ni advantage maana ukisugua sana na ndom inakuwa sio kinga tena ila balaa.
 
Sababu kuu ya kushindwa kurudi tendo ni saikolojia. Vilevile, kuichua (masterbation) kwa mda mrefu nayo inachangia mno kwani kwa mpiga nyeto goli moja lamtosha, na kwa kua mara nyingi hufanywa katika mazingiraya kificho mpiga nyeto hutaka kumaliza mapema, hivo ubongo wake unajicondition mno.

Jamani mapenzi ni sanaa, jivunze kupitai vitabu, majarida na mitandao mbalimbali ya malavidave utjifunza kua unaweza umridhisha dem wako ila hata kumwingilia.
 
mkuu hapo umesema kitu cha msingi ambacho kinagusa aslimia kubwa ya watu wanaotuzunguka ila kuna issue moja inatokea sana nchi za wenzetu tabia ya wanaume kuongeza uume wewe unaiongeleaje hii?
 
acheni kujidanganya wenyewe maisha ya sasa yanahitaji umakini sana inawezekana unaefanaya nae running hours ni more than weye hivo itakuwa ni shida kusema utaweza kumfikisha pale unapotaka ila ni kwamba siku hizi kila mmoja anaangalia yeye huwaga anaridhika wakati gani kwani kuna miwanawake wengine hata umpige hapo na nyundo utachoka wewe yeye yupo mbali
We acha tu kazi ni kazi mbaya kulamba kinyesi
Conquest
 
hakuna mashine tighty wala nini ni kichina tuu usipo kuwa makini utaibiwa sana kwani maisha ya sasa usanii mpaka ktk mambo fulani unaweza kumuona ni kadogo lakini weee baaakeee usiombe hapo ni kimoko then safari uwezi kurudia mie naona ni madawa na running hours za mtu ndizo zinazoweza kumtoa ktk line
Conquest.HATA PIPI KIFUA HUYEYUKA KWA JOTO HATA KAMA NI TAMU.:A S tongue:
 
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

Kama umekula mara moja na kushiba kwa nini unataka kurudia? Ni ulafi huo!! Na walafi huwakuta mabaya. Kama umeshiba kaa utulie mpaka saa au siku utakapopata njaa tena utakula tu. Kwani shida iko wapi? Watu wengie bana!
 
Sijaona mchango wa mkuu CHIMUNGURU kwani hili ndio eneo lake haswa. Huwa nafurahia sana comment zake. Mie hapo sina cha kuchangia, ila najifunza mengi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom