Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

Kwa maoni yangu hapa tatizo ni wote. Nanino haitumii mota hivyo baada ya kumaliza tound ya kwanza mtu inabidi akusanye nguvu kwa round nyingine ingawaje kuna baadhi ya waliojaliwa wanaweza kuunganisha round nyingine bila kupumzika.

Nasema tatizo ni wote kwa sababu, wanaume wengi kwa hofu ya kushindwa kperform round nyingine hawataki kabisa kuguswa bali wanataka kupumzika na wengine huchapa hata usingizi ha ha ha ha na kukoroma juu LOL! na Wanawake wanasubiri njemba ikusanye nguvu ili mchezo uendelee na baadhi hawajui wafanye nini ili kumsaidia njemba aweze kuendelea na round ya pili.

Naam, hili la utazunguka butcher zote nyama ni ile ile halina ukweli wowote. Wale mliowahi kula nyama ya kongwa mnajua tofauti ya nyama ya kongwa na nyama ya vingunguti. Kuna mwenzetu hapa alitwambia siku chache kwamba alipokuwa Mbeya kikazi alijichukulia changu doa ambaye alikuwa ana ngozi laini kama ya mtoto na alidai aliweza kwenda round tano bila mtatizo yoyote kitu ambacho alikuwa hajawahi kabisa maishani mwake. Kwa hiyo machoni nyama inaweza kuonekana ni ile ile, lakini kwenye ladha kuna tofauti kubwa sana.

Kinachotakiwa kufanyika baada ya round ya kwanza ambao wote si ajabu mtakuwa mnahemea masikioni ha ha ha ha ni kupumzika kwa muda halafu kendelea na foreplay (kuchezeana) miili yenu kunyonyana na bila kuwa na haraka yoyote ya kuendelea na round nyingine, baada ya muda si mrefu njemba inaweza kabisa kuwa tayari ha ha ha ha kuendelea na round nyingine. Wanaume msiwe selfish lazima muhakikishe wanawake wenu na wao wanaenjoy katika tendo na nanino na kuna namna nyingi za kufanikisha hilo.

Bado sikubalini kabisa na wale wanaosema 'after all sex is over rated'. Mwambie mume aliyemfumania mkewe akiliwa uroda na njemba nyingine kama sex is overrated kama atakuelewa, mwambie mke aliyemfumania mumewe akila uroda wa rafiki mpenzi wa mkewe kwamba sex is overrated kama atakuelewa. In my opinion lovemaking is something very special and there is nothing in this World that we can compare to love making.

Watu wanaua au kuuwawa kutokana na mapenzi.
 
Mirungi pia husababisha. Kama u mtumiaji mzuri wa mirungi, unachelewa sana kufika kileleni lakini la pili ndo hivyo after a week or so.
 
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

kwa kawaida mwanaume huweza chukua dk 15 baada ya bao la kwanza ndipo mashine huweza simama tena(hii ni kwa wale wenye age around 18yrs), several hrs or even a day to those with age around 80yrs, lkn kwa walio wengi ni kama 30minutes hivi,hiyo hali sio kwa wanaume tu bali hata kwa wanawake pia

wapo wale wanawake ambao wanaejaculate kwa kutoa maji mengi sana kupia critorisis, hawa nao huwa hawajisikii hamu ya kuendelea na game baada ya kufika kilele.Ila kuna factor zingine zaweza changia,kama baadhi ya wadau walivyozungumza, ambazo ni pamoja na

(1)hisia,kufanya mapenzi sio sawa na kupandia baiskeli,yanahitajika maandalizi na pia uwe na hisia kuwa wafanya mapenzi,sio uwaze fikiria mambo ya kutisha tisha,waweza kuta kata inaangukia mtungini.

(1)ubora wa mashine,mtu unategea mashine iwe super,kumbe mashine yenyewe mbovu, so if this is the case mtu anakuwa hana hamu ya kuendelea na rigwalide.
 
Last edited:
Maoni mengi ni veeeeri ansayantifik lol.. waTz tuwe na kawaida ya kuperuperuzi vilindi vya elimu. Hizi ninazoziona hapa ni hearsay tu..hamna jipya..
 
kwa kawaida mwanaume huweza chukua dk 15 baada ya bao la kwanza ndipo mashine huweza simama tena(hii ni kwa wale wenye age around 18yrs),several hrs or even a day to those with age around 80yrs,lkn kwa walio wengi ni kama 30minutes hivi,

Labda tujue huyo jamaa ana umri gani,kwa kuwa as man gets older testerone level decreases whose effect is also to increase a male's sexaul refractory period

Lakini hata hivyo ,anachohitaji mwanamke sio bao ngapi unapiga bali antosheka vipi ,kwa mfano nilipokuwa ealier twenties niliweza piga bao kumi per night.Sasa hivi siwezi ila I can endure one hour without ejaculating ,something I could'nt then .Secondly, by PC exercising (Kegel is not just for ladies ,it has transfromed my sexual life too) nimeweza kuzuia flow of ejaculations, kiasi kwamba I can ejaculate smaller portions even three times Before comming with a final one and attain flacidity - yaani bao moja unaligawa several times kwa kutoa kiduchu kiduchu, with time i have learnt to enjoy having at least one orgasm without ejaculating and finish with one with shits and this stores my energy to take my wife to any height she wan't and retain some for the other duties next day or for some sex next day.

Infact mbinu hii uniwezesha kugawa dozi kila siku endapo wife anajiskia pia ,with my maximum pleasure taken care as well as hers na bila kudhoofu au kusinzia ofisini

Niliyokupa hapo juu is my experience!!! wengine mpeni pia
 
Mimi nadhani kuna kaugonjwa kamewaingia hivi viumbe si bure. Naunaitwa 1ejaculatio swine.

Mh, majority ya wenye matatizo ni wale wa maofisini sababu ya stress na kukosa mazoezi na pombe [and poor diet]

Emotions play major role katika gemu!!! Ngoma mpya unpiga hata nne lakini ya kila siku inakuwa ngumu, maana unaweza anza halafu mtu analeta shida za familia
 
Mimi nadhani kuna kaugonjwa kamewaingia hivi viumbe si bure. Naunaitwa 1ejaculatio swine.

Kwani wewe Penny unachotaka nini kujazwa mish***wa au kucheza gemu muda mrefu ,maanake mnaweza chapa gemu kwa saa 1 bila jamaa kushusha ,na ninaamini baada ya hapo utakuwa chokaa mbaya huitaji tena au sio?

Basi hoja sio bao moja bali mtu anaweza akahold kwa muda gani ?after all not all women experiency org through penil thrust,so things like oral sex,foreplay are of great importance to majority and penil thrust is just needed to wind things up and probably only to satisfy the man
 
vyakula navyo vya siku hizi zinachangia kuwafanya wanaume kupiga kibao kimoja tu awe hoi. Solution viagra labda inaweza kusaidia.
 
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?

nasapoti hiyo kwani mashine inapokuwa tofauti hamu inapotea lakini mashine kama ni bomba unaweza kwenda hata mara nane

Pia na wanaume nao hawajui kudeal na ishu za namna hii.....wengi wa wanaume wanafikria mapenzi ni kuchoma choma nje ndani kibaoo....

..mapenzi sio kihivyo....wajifunze kuzamia 30-45 mins wafanye window sex shori akiwa kesha score 2 yeye ndio aingie amalizie na kabao kake ka1.....

Hiyo comment yako nimeipenda, imetulia.. ila inategemea na demu mwenyewe kama analipa kuanzia figure, sura na mashine yenyewe, pia inategemea na psychological state ya mwanaume, mfano kama ulikuwa unamtamani msichana kwa muda mrefu sana, siku utakayompata unaweza ukapiga hata bao 4 mfululizo, ukisha mzoea hata hamu ya hako kamoja inikuwa taabu...

Mie nakumbuka siku za mwanzo naanza kuitumikisha tupu yangu ilikuwa ni hatari kubwa kwani niliweza kwenda kimiani mapema sana lakini zile majalo za kutingisha cha pili au tatu ilikuwa ni lazma nicheze ka kiungo straika ili niweze kufunga rather than stickin striker, lakini miaka hii ingawa sipati mechi nyingi lakini nachelewa sana kufunga na pia sifungi nyingi pia nakuwa tired sana! Bt nkajua nawaza sana mambo ya nje ya uwanja kuliko kuwaza gemu,

Naam, hili la utazunguka butcher zote nyama ni ile ile halina ukweli wowote. Wale mliowahi kula nyama ya kongwa mnajua tofauti ya nyama ya kongwa na nyama ya vingunguti. Kuna mwenzetu hapa alitwambia siku chache kwamba alipokuwa Mbeya kikazi alijichukulia changu doa ambaye alikuwa ana ngozi laini kama ya mtoto na alidai aliweza kwenda round tano bila mtatizo yoyote kitu ambacho alikuwa hajawahi kabisa maishani mwake. Kwa hiyo machoni nyama inaweza kuonekana ni ile ile, lakini kwenye ladha kuna tofauti kubwa sana.


.

Maoni mengi ni veeeeri ansayantifik lol.. waTz tuwe na kawaida ya kuperuperuzi vilindi vya elimu. Hizi ninazoziona hapa ni hearsay tu..hamna jipya..

Kutokana na michango hiyo hapo juu, HITIMISHO LANGU:
MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
Way forward:

Jibu kamili la hii ishu ni vigumu kulipata kwa maana binadamu kila mara ana harakati nyingi sana za kujitafutia liwazo na raha na kamwe haipati.Cha msingi,kama una mwandani wako concentrate on her/him, endelea kuvumbua nae.

Kama vipi basi utaendelea kuwa disappointed na utazunguka sana kutafuta ideal partner/mwenye optimum performance na hutampata.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
 
Naona wote tunazungumzia lile tendo la ndoa (ngono) to have sex. We need to look at it from a different angle or point "Making Love" hii its more than having sex, kuna factor nyingi zinazoshababisha speed ya tendo kupungua lakini sababu kubwa ni wahusika wenyewe na mahusiano yao.

I have experience that all the time kama mmoja wenu anamuachia mwenzake ndie awe kinara wa tendo lenyewe linakua limepooza, both of you have to participate na mood ya mapenzi lazima iwepo, not only foreplay hata maongezi lazima yawepo ya kimapenzi, attitude, body language etc.

Make it a special event na sio as a method of reconciliation or way of asking for something, prepare youself both physically, mentally, and make sure you willing to enjoy it.
 
Hii ni shida inayowasumbua wanaume wengi husasani Dar, inatokana na mabo mengi yakiwemo ya kiafya, kijamii, kiuchumi na ubinafsi.

Dawa ya tatizo hili inapatikana ,Kwa yeyote mwenye hitaji hilo anitumie PM na namba yake ya simu nitampa habari kamili na jinsi ya kunusuru hali hiyo.
 
Siku wanawake na wanaume wataacha cheating katika maisha yao yote, ndipo matatizo ya sex yatamalizika!

Kwa nini tusiwafanye wapenzi wetu kuwa ni wao wao tu bila cha kutafuta mabucha tofauti tofauti, yawe ya kike au ya kiume!?

Tungeamua wote kuwa na wake au waume zetu kwa life time tangu muoane bila kutembeza nje nakuambia sex ingenoga tu.

Hebu fikiria mkeo anafahamu kuwa una kimada nje na ameshashuhudia mara nyingi ukimsaliti au pia mwanaume anajua mke ana njemba nje, hata kama wataombana msamaha hakuna game itakaa ikubali kama awali.

Kama kweli game awali ilikuwa moto halafu ghafla ikazimika ni mpaka uchochee kuni za mpingo basi ujue kuna tatizo!!! hasa pale ambapo unafahamu mwenzake hana stress wala matatizo mengineyo halafu inapokuja kwenye game ndo tatizo linaonekana then is an issue.

Kwa wale tangu awali mmekutana na ukaona mwenzako si kijogoo kwa sex na ukaamua kumpenda na kumchukulia it is ok na mnaweza ku work out ku solve problem!!! Any way, issue ya incompetent sex ni kubwa sana siku hizi katika ndoa nyingi!
 
Kutokana na michango hiyo hapo juu, HITIMISHO LANGU:
MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
Way forward:Jibu kamili la hii ishu ni vigumu kulipata kwa maana binadamu kila mara ana harakati nyingi sana za kujitafutia liwazo na raha na kamwe haipati.Cha msingi,kama una mwandani wako concentrate on her/him, endelea kuvumbua nae.Kama vipi basi utaendelea kuwa disappointed na utazunguka sana kutafuta ideal partner/mwenye optimum performance na hutampata.
Haya ni mawazo yangu binafsi.

Hapo umesema ukweli.......
Hii vumbua vumbua ndo inaleta shida sana, kiasi kwamba ile ngoma yako unaizoea unaona haina ladha tena coz mtu ushazoea tofauti tofauti. Kama hujui kitu kingine basi cha kwako utakiona mwisho, ila ukizoea za nje utahitaji mpya kila siku......

Kikubwa hapa ni kuamua kumfurahisha mwenzako, na ukishazoea basi haitakuwa shida. Kuna watu wanaongea kutoa mawazo wakati wa gemu, wajue ni tatizo coz wakati mwingine wakitaka kumaliza wataanza kuleta ngoma nyingine mawazoni ili wafanikiwe.

I think we can learn to use what we already have to perfection, naturally. Hakuna haja ya bangi wala konyagi, just practicing.
 
hiui kali wadau,kila mtu ana tatizo,ina wezekana hata mzee ana tatizo c mama tu.Wengne wanakuwa walishamaliza mambo yao nyumba ndogo huko,jiangalieni saana wenye ndoa
 
Back
Top Bottom