Kurudi kwa wamachinga: Mgambo wanakula rushwa balaa

Juzi jumatano wamechukua 25,000/=yangu. Qumamae zao wao na serikali inayowatuma.
 
Bila kutunga sheria ya kufungwa mtu anayefanya biashara maeneo yasiyo rasmi hao wamachinga hawataacha. Wakamatwe baadhi wafikishwe mahakamani wapigwe mvua kadhaa hata miaka mitatu ili uwe mfano.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Juzi jumatano wamechukua 25,000/=yangu. Qumamae zao wao na serikali inayowatuma.
Hiyo hela ni bei ya kitambulisho kwa mwaka mzima na chenji inabaki!

Nenda Chato ukajutie makosa yako
 
Kurudi kwa wamachinga kwenye maeneo waliyozuiwa kumeambatana na kuchangishwa rushwa ya 1000 kila mmoja ili uruhusiwe kupanga bidhaa zako barabarani.

Maeneo yote waliyofukuzwa sasa wanarudi kwa kasi kwa makubaliano na mgambo wa jiji kuwa kila jioni watawapoza elfu moja moja!.

Hiyo ndiyo Tanzania iliyokuwa inaliliwa na majizi Chadema.
Viongozi wa Mkoa na Wilaya hawapo?
 
Bila kutunga sheria ya kufungwa mtu anayefanya biashara maeneo yasiyo rasmi hao wamachinga hawataacha. Wakamatwe baadhi wafikishwe mahakamani wapigwe mvua kadhaa hata miaka mitatu ili uwe mfano.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Unajitekenya mwenyewe! Hao watakaowakamata hao machinga mshahara mnawalipa milioni kwa mwezi!? Hao maaskari wenu tu, wananunua vitu kwa machinga.
 
Back
Top Bottom