kurudi kwa Umeme kwa kwa baadhi ya maeneo chunya na kinondoni kaskazini

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KURUDI KWA UMEME BAADHI YA MAENEO CHUNYA NA KINONDONI KASKAZINI.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa
Mbeya na Kinondoni Kaskazini kuwa line ya Chunya na ile ya D10 zilizokuwa zimezimwa leo Februari 13, 2016 saa 3.00 asbh zimesharejeshwa baada ya eneo lililokuwa kwenye matengenezo kukamilika.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.
 
Mm,sasa ndio mnajua maana ya kutoa taarifa kwa wananchi.Magufuli kweli anaogopwa.Hata hivyo mbona taarifa hii haikuwa na umuhimu sana.Kama umeme umerudi si wameuona.

Back
Top Bottom