Kureset Simu mara kwa Mara kuna madhara..

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,735
7,677
Kufanya "factory data Reset" kuna Limit? Je ukifanya mara kwa mara inaweza kusababisha madhara?
 
Madhara yapo kwa baadhi ya simu. kuna simu nyingine inaweza kupoteza imel kwa mfano samsung note 3. uki reset nyingi huwa zinapoteza imel
Na kuna simu nyingine ukireset inaweza kuishia njiani nk.
Lakini kuna nyingine hata ureset mara 100 haiwezi kuleta shida yoyote.
 
Niliwahi kureset windows phone Nokia lumia 530 ikawa na tatizo la kuchemka sana...na chaji inawahi kuisha.
Pia kuna wakati ikawa inajizima.
Baadaye nkaipiga windows 10 ikawa sawa lakini baadaye ikawa inastack sana.
Naunga mkono hoja ya Lifeplan kwamba inategemea na aina ya simu pia uwezo wa simu husika
 
Madhara yapo kwa baadhi ya simu. kuna simu nyingine inaweza kupoteza imel kwa mfano samsung note 3. uki reset nyingi huwa zinapoteza imel
Na kuna simu nyingine ukireset inaweza kuishia njiani nk.
Lakini kuna nyingine hata ureset mara 100 haiwezi kuleta shida yoyote.
Nina Sumsung J1 vip yenyewe haiwezi kua na Matatizo ayo?
 
Back
Top Bottom