Kurejesha akaunti yangu

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
rejea kicha cha habari hapo juu.Akaunti yangu ya gmail haifunguki.Nijaribu kuingia wanasema ukurasa haupatikani.Cjui tatizo nn kwa anaejua. hatua za kuweza kusolve hli tatzo. nawasilisha.
 
Umefungua/ umelogin kwenye kifaa gani. Simu, PC browser au Google play?

Mara ya mwisho kuitumia lini?
Una uhakika haukosei username or password?
 
Back
Top Bottom