Kurejea kwa Mike Iron Tyson ulingoni Mwezi ujao

google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
9,629
13,691
Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.

Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy Jones.

Nimejaribu kupitia pitia maktaba kuona pande zote mbili enzi zao ila kwa sasa nashindwa kujua nani atamzeesha kabisa mwenzie siku wakikutana.
ebu weka ubashiri wako mezani karibun...

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
mike miaka ya nyuma kidogo alikuwa anapuliza bangi sijui kama atakumbuka kumlindia mwenzie oblangata.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Bado anapuliza na sasa amefungua kampuni ya kuuza bangi ambao atleast inamuingizia dola laki tano kla mwezi nana sasa hv ameanza kuinuka kiuchumi baada ya kuwa mufilisi kwa muda.

Tyson aliingiza zaidi ya dola mil300 kipindi chote cha ubondia wake lakini alitumbua zote then akaanza kuuza magari na majumba yake jumba moja alimuuzia 50 cents kwa dola mil 14 akaponda raha zingine akalipa Madeni mwishoni akawa maskini.
 
Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.

Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy Jones...
Wameamua kufuata kiinua mgongo
 
Wanaenda kufanya maigizo tu wapige mpunga basi.
Hakuna ten ndonga za nguvu na ushindani.
 
Back
Top Bottom