KURE Kwetu MUSOMA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Tunakunywa sana gongo rakini hatufi kwa matatizo ya ini,
tunarema sana bhange rakini hatupatwi na kichaa,
kure kwetu kijana rashima afanye kashi ya geshi...
Kashi sha ofishini ni sha wanawake.......
Kure kinachotuua ni mapanga na risase.
Nikimwambia mke wangu 'ntakughecha" tayare panga rinakuwa rimetua maungoni.
Kure kwetu mke ashipopigwa anadai taraka.
Tukitaka kutongoza tunauriza' we mwanamke umeorewa au bado unapiga umaraya?"
akishema ameorewa unamuacha aende, akikukubari anakwambia narara unirare.
Kure kwetu hatuchezeani kabra ya kuingiriana kimwiri, mwanamke ukimuramba anakuuriza "unanirambaramba kwani mi ndama?"
kure kwetu ni raha sana.
Muraa wote karibuni musoma.
 
Hahahahaha....
Mura mtakua mnaoana wenyewe kwa wenyewe. Mwanamke gani akubar kupigwapigwa. Hizo mira nyingine tata!
 
Chakula kikuu cha watu wa Musoma ni nini?

Wahaya ni Bhitoke, Wachaga ni Ndisi, Wapare ni Makande na wasukuma ni Ugali na mboga! Hawa jamaa wa mapanga wala nini?
 
Haaaaaaaaa
Huko ni Kutamu sana natamani niende kuishi huko ambako hawatongozi wake wa watu, That is lovely guys
 
WAMUSOMA NI NOMAAAAA.....
KAMA HALI YENYEWE NDIO HIVYO ITABIDI TUJIULIZE KAMA KINA NYEREREE, BUTIKU, WARIOBA, TYSON, MABERE MARANDO NA VIONGOZI WENGINE WANAOTOKEA HUKO KAMA NI VIONGOZi WAZURI AMA MADIKTETA.
 
Akina muraaa shida yoa ni bange saaanaaaaa, kichuri kwa wingi na ilimu kidogo!

Harafu we bwana mudogo angaria sana hiyo maneno yako mbofu mbofu.
Ma intellectual wooooote waliojaa Musoma harafu we unareta masarau yako hapa!!
Bahati yako sikufahamu unakaa wapi, lazima ningekugecha!!!
 
Haaaaaaaaa
Huko ni Kutamu sana natamani niende kuishi huko ambako hawatongozi wake wa watu, That is lovely guys

Na ikitokea umekosea stepu, ukawa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu, umekwisha aisee. Mnamalizana kimya kimya arife!! hakuna cha polisi au wala mahakama!!
 
Hahahahaha....
Mura mtakua mnaoana wenyewe kwa wenyewe. Mwanamke gani akubar kupigwapigwa. Hizo mira nyingine tata!

Asikudanganye mtu ndugu yangu, Mapenzi tunayajua sisi.
Uliza wanawake walioolewa na Musoma line wakwambie wanajisikiaje, maisha yao yakoje, achaneni na propaganda za hawa watani wa jadi.
Wanawake wangapi wanatulilia!? kuolewa musoma raha ati!! Mambo ya kupigwa hata wazaramo wanadundana, sasa kuna nini cha ajabu hapo??
 
Ila musoma bwana..
Watu wana roho ya kisasi iliyopitiliza.
Mnakosana leo, mtu anakuja kulipiza kisasi baada ya miaka kumi na tatu.
Tena anaua ukoo mzima.
 
Chakula kikuu cha watu wa Musoma ni nini?

Ugali wa udaga,Ugali wa mtama,Ugali wa ulezi na Ugali wa mahindi.
Mboga sasa; Kimolo,Kichure, Mlenda, Mgagani, e.t.c, e.t.c bila kusahau ile kinywaji saaafiii inaitwa togwa.

Karibuni nyumbani mkoani kwetu Mara.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom