Hivi kweli inawezekana vipi majimbo karibu yote ya Bara na visiwani kura zilizoharibika zinaacheza hapo kwenye 2.x%? Ina maana kutofahamu yetu ya jinsi ya kupiga kura hadi tunaziaribu nchi nzima bila kujali wa mjini na wa vijijini inafanana?