Elections 2010 Kura zahesabiwa upya jimbo la Ubungo?

Ukiona hivyo wanataka kuingiza zao ili Mnyika apigwe chini
 
Sasa wizi umeanza rasmi katika majimbo mengi

Naogopa isijetokea kama kule Zamibia 2006, matokeo yalipotoka upinzani walikuwa wanaongoza. Kumbe wenzao waliwatangulizia hayo matokeo ili wakati wanasherekea wao wanachakachua kwenye ngome zao then mwishoni kabisa matokeo yanabadilika. Maana tangu asubuhi hii naona matokeo ya Chadema tu!!

Kwa hiyo Chadema lazima wawe makini kwa hili ili wasiibiwe. Kuna mtu ameposti matoke ya Kinondoni mpaka nimeshangaa!! Yaani turn out eti ilikuwa ni 30 % tu!! Hivi kwa mwamko uliokuwepo inawezekan kweli turn out ikawa that low?? Au ndiyo wanajaribu kupunguza kura za wapinzani sehemu walizoshinda??
 
Haiwezi kutokea Zegwe la aina yeyote ile, inafahamika mnyika kashinda sasa wakichakachua wakati watu tunadata watalamba udongo maji
 
Nimesikia sasa hivi redioni (Radio One Stereo) watu wanalalamika kwa nini matokeo hayatangazwi wakati inajulikana Mnyika kashinda. Huenda iko namna!
 
Kuna taarifa zimezagaa kwamba kura za ubunge zinahesabiwa upya, jimbo la Ubungo. Hii imekaa vipi kama kuna awaye yote anazo taarifa za kina?

Sababu ya kura kuesabiwa ni nini? inamaana hao mawakala hawana uhakika na uwezo wao wa kuhesabu mpaka wakaachia matokeo ya mwanzo? ina maana mawakala hawakurudia zaidi ya mara moja kabla ya kutoa matokeo ya mwanzo? sasa huko kurudia ni kwa nin?
 
hodi wanaJamii.

Nipo royola, mnyika bado hakijatangazwa kitu, kuna kila dalili ya zengwe, lakini raia wako makini, Mnyika ameongea kwa utaratibu (bila jazba), sijui ni kwa nini, lakini inaonesha sisiem hawataki kuachia jimbo, tofauti ya mnyika na mtu wa pili ni kura 21,000 kwa matokeo ya awali
 
Sisi wapenda mabadiliko tulikesha jana tukifuatilia matokeo ya kituo baada ya kituo na hakuna shaka kwamba MNYIKA ndiye mbunge mpya wa Ubungo. NEC hawana ujanja wa kupindisha matokeo haya kwani tuna rekodi zote, Kudadadeki!
 
Back
Top Bottom