Elections 2010 Kura za walimu kurejea kwa JK

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kuna tetesi zinasema kuwa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinaandaa sherehe za siku ya walimu duniani ambayo itafanyika mkoani Ruvuma na mgeni rasmi atakuwa J.M. Kikwete. Hii inaweza kubadilisha upepo wa kisiasa na kuongezea angalau kura kwa JK na CCM. Hapa la msingi zaidi ni kuwa Dk. Yahya inabidi aongeze mara dufu ulinzi usioonekana maana akianguka katika sherehe hizi uchaguzi utakuwa umeishia hapa. Mwenye habari zaidi, atujuze zaidi. :spider:
 
Hizo sherehe si ndiyo zile nilizosikia kwamba amejialika? Hata hivyo atawapata walimu wa Songea tu, kwa uchache, walio wengi bado hawatampa kura. Vinginevyo aeleze alimaanisha nini kusema hahitaji kura za wafanyakazi.
 
Walimu waliishaamua siku nyingi kuwa HAWADANGANYIKI ; muacheni mkwere wawatu aende akaridhishe nafsi yake kuwa walimu watampigia kura!!!!
 
Kuna tetesi zinasema kuwa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinaandaa sherehe za siku ya walimu duniani ambayo itafanyika mkoani Ruvuma na mgeni rasmi atakuwa J.M. Kikwete. Hii inaweza kubadilisha upepo wa kisiasa na kuongezea angalau kura kwa JK na CCM. Hapa la msingi zaidi ni kuwa Dk. Yahya inabidi aongeze mara dufu ulinzi usioonekana maana akianguka katika sherehe hizi uchaguzi utakuwa umeishia hapa. Mwenye habari zaidi, atujuze zaidi. :spider:

Unless hawana akili nzuri, au atawapa funguo za nyumba siku hiyo, au mishahara yao itapanda siku hiyo, au atawaletea bajaji 400........Oh no!!! asije akaambiwa....Bye bye JK na Bajaji zako!!!!!!! Hatudanganyiki mwaka huu!!!!
 
Jama si amaemda kuongea na mashemeji zake? Ki ukweli walimu ni watu wanodanganyika kirahisi mno na sishangai kuona wanamchagua shemeji yao, hawa ndio wale wanaotuletea shida tunapohitaji mabadiliko, sisi wengine tunasema HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 2010.
 
noooooo,tena big no,its hard,haohao walimu ndo waliambiwa nia wanafki wazandiki hawana lolote wana lao jambo,walimu hebu jaribuni kutafakari na mchukue hatua as soon as possible,hatuwezi kuendelea na hii hali kabisa tunahitaji mabadiliko
 
Waache tu wakitaka na wataendelea kuambiwa UALIMU NI WITO, bila kuuliza NA SIASA JE?
 
Kwani mnaona walimu ni mambumbumbumbu kwa kusema eti wao wakipewa kamkate kidogo wanadanganyika?Ombeni radhi walimu kwani nyie leo mnachati hapa jf ni kwa sababu ya hao walimu,kuweni wenye busara japo kidogo!
 
Angejua wala asisumbuke na walimu!...Atawahonga, lakini uwezekano wa kupata kura kwa walimu niwajuao mimi, hakuna!
 
Naamini walimu hawajasahau ule wimbo wa kuhamasishana " soooooolidarity foreeeeeverX3 and TUCTA keeps us stroooong!
 
Baada ya kuimba Solidarity Forever,wamalizie na..
.....HATUDANGANYIKI...
 
Baada ya kuimba Solidarity Forever,wamalizie na..
.....HATUDANGANYIKI...
Hivi siku hiyo walimu wakiimba SOLIDARITY FOREVER Kikwete atajisikiaje au atachekelea bila kuelewa ujumbe unaelekezwa kwa nani.
 
Kwani mnaona walimu ni mambumbumbumbu kwa kusema eti wao wakipewa kamkate kidogo wanadanganyika?Ombeni radhi walimu kwani nyie leo mnachati hapa jf ni kwa sababu ya hao walimu,kuweni wenye busara japo kidogo!

Wengi wa waalimu ni waoga sijui kwa nini? Nimekuwa nao JKT (kujongo kwao ilikuwa ni shida), nimekuwa nao UDSM kama wanafunzi (kunji wao wako nyuma), na mashuleni vivyo hivyo (mwalimu mmoja shule nzima, nyumba hawana).

Siku hizi jukwaani anawekewa mic ya ziada ambayo haifanyi kazi ili ashikilie stand yake!
 
Siku hizi jukwaani anawekewa mic ya ziada ambayo haifanyi kazi ili ashikilie stand yake!
Hili mimi nimeliona siku nyingi anashikilia stand ya mic ya ziada in case huku akiwa amezungukwa na bodyguard wa ziada tayari kumdaka kaaazi kweli.

10_10_f3njwr.jpg
 
Hili mimi nimeliona siku nyingi anashikilia stand ya mic ya ziada in case huku akiwa amezungukwa na bodyguard wa ziada tayari kumdaka kaaazi kweli.

10_10_f3njwr.jpg

JK ni mtu wa kujirusha popote anaposikia mkusanyiko wa mnuso roho huwa inamkereketa.Maana shughuli zake ni kuuza sura kwenye kadamnasi na usishangae hata kura hataomba. YEYE atakuwa ametakasika roho yake kukaa amezungukwa na kuitwa mheshimiwa.Wazaramo/Wakwere ndo zetuuuuuuuu ebooooooo!!!!!!!!!
 
Kwanza hapashi kuomba kura huko kwa sababu si mkutano wa kampeni. Je ratiba yake itakuwa inasemaje? Tukipata ratiba yake na siku kamili ya sherehe hiso tutacompare. Ninaamini kuwa walimu wanajua kuwa JK ni msanii hawezi kuboresha chochote cha kudumu kwa sababu hana long therm strategies. yeye anakurupuka tu. Ndiyo maana ni rahisi kumdanganya!!
 
Kuna tetesi zinasema kuwa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinaandaa sherehe za siku ya walimu duniani ambayo itafanyika mkoani Ruvuma na mgeni rasmi atakuwa J.M. Kikwete. Hii inaweza kubadilisha upepo wa kisiasa na kuongezea angalau kura kwa JK na CCM. Hapa la msingi zaidi ni kuwa Dk. Yahya inabidi aongeze mara dufu ulinzi usioonekana maana akianguka katika sherehe hizi uchaguzi utakuwa umeishia hapa. Mwenye habari zaidi, atujuze zaidi. :spider:

Bwana Mungu tunaemwamini ndiye atakayesimamia uchaguzi wa 2010, hakuna cha Ndumba wala wizi wa kura, wakirusha roho wachafu ili shaba tuone Dhahabu watarudi kwao kwa njia saba,
Dhahabu itabaki kuwa dhahabu, na shaba kuwa shaba
Laana zote na manuio na dhambi zilizofanya Tanzania kulaaniwa na watu wake kulaanika imeshaondolewa kwa damu ya Yesu Kristo.
Huyu ndiye Mungu ninaemtegemea na alisema katika Neno lake Iwapo mtu mmoja atasimama kwa ajili ya Nchi nitaiponya nchi.
Nami nasimama kwa ajili ya Tanzania Ee Bwana ukapata kuiponya..
Tunataka nchi yetu uliyotupa ya asali na Maziwa.....
Tunataka watu kutoka mbali watuletee dhahabu na Almasi......
Zaburi 17: 14( Ee Bwana kwa mkono wako uiokoe Tanzania na watu wa dunia hii, ambalo fungu lao li katika maisha haya. Matumbo yao wameyajaza kwa hazina yako. Hushiba wana huwaachia watoto wao akiba zao.

Hii ni IMANI YANGU NA SI UDINI, WOTE WANAOAMINI KWA IMANI HII NA WASIOAMINI BALI WANAITAKIA TANZANIA MEMA WASEME AMEN.
 
Back
Top Bottom