Elections 2010 Kura Za Urais na Nec - Haiingii Akilini!

Tanganyika

Member
Nov 4, 2010
67
1
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo hiki pamoja na walihusika kushauiri huu upuuzi watapata pigo kubwa sana kutoka kwa Mwenyenzi Mungu, hivi hawa washauri hawawezi kutafakari jambo kuwa linaweza kuleta matokeo mabaya? Wanatakiwa kabla ya kufanya mamuzi waangalie kwanza majibu ya matokeo ya huwo mpango wao! Hata mtoto wa std 3 ukimweleza kinachofanyika na NEC atakushangaa, Nec wanafikiri watanzania ni Mambumbumbu? Huu ni wizi wa kitoto kabisa! Lakini Mwisho wenu umefika labda mtubu mapema kwa Mungu na kwa Watanzania! Watanzania wote tuungane kwa pamoja kuombea jambo hili ili haki itendeke, Mungu wetu ni mwaminifu sana na hasemi Uongo, atalishughulikia jambo hili tena kwa namna ya ajabu sana ambayo itakuwa muujiza kwa kila mtu, tusali bila kukoma! AMEN.
 
Kinachonishangaza ni kuwa wagombea kama dovutwa, rungwe hawakupiga kampeni kabisha na wala hawajulikani lakini bado wamepata kura mpaka vijiji vya ndani kabisa; hii ni uthibitisho kuwa Tume ya uchaguzi haijapunguza kura za Dr Slaa na Lipumba ili kumwongezea Kikwete tu bali wamepunguziwa na wagombea wengine.
 
Dovutwa alijitoa lakini akaenda mbele ya vyombo vya habari walioko Dar wanaopiga kura walielewa kuwa kajitoa
LAKINI CHA KUSHANGAZA HATA DAR KAPATA KURA NYINGI RIDICULOUS...........NOT ACCEPTABLE
 
Kwa kweli, tuombe kuhusu swala hili, mi naamini kuwa tukisimama ktk maombi Mungu atafanya, kwani hata tukiangalia katika Biblia utaona Sauli alikataliwa na Mungu ndipo alipochaguliwa Daudi aliongoze taifa la Israel, maana tunajua sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Tuombe Mungu huyu Jaji Makame pamoja na NEC nzima, pamoja na rais atakaechaguliwa kama c wa halali wakose amani na waachie ngazi.Tusimame watu wa Mungu
 
Back
Top Bottom