Kura za Urais labda zimechakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za Urais labda zimechakachuliwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Andrew Nyerere, Nov 9, 2010.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Wapo watu ambao wanadai kwamba kura za Urais zimechakachuliwa,kwamba labda Jakaya Kikwete hakushinda kabisa,kwamba labda Dr. Slaa anasema kweli kwamba yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi.
  Kinachosemwa ni kwamba Jakaya Kikweta hakushinda Uchaguzi. Hilo ndilo jambo ambalo nataka kujadili hapa. Kama baada ya Jakaya Kikwete kushindwa Uchaguzi aliyeshinda ni Dr, Slaa,hiyo ni outside the scope of this work.
  1. Watu wanasema,katika kukamatwa malorry mkoani Mbeya yaliyodaiwa kuwa na kura zilizopigwa tayari kutoka Afrika Kusini,tuione kwamba ni dalili kwamba kura zimechakachuiwa. Nd. Rajab Kiravu alizikanusha hizi habari,lakini I was never convinced with the statements he made. Na mtu anaposema kwamba ile habari ya malorry kukamatwa Mbeya lazima iwe re=visited,mimi nashawishika kuamini.

  2. Kwamba watu millioni nane waliojiandikisha hawakupiga kura,hilo tulione kama ni dalili kwamba kura zinechakachuliwa.

  3.Kwamba Tume ya Uchaguzi imechukua siku tano kutangaza matokeo,hiyo tuone kwamba ni ishara nyingine kwamba kura zimechakachuliwa.

  4. Mwaagalizi wa Europena Union ameongea kidogo kuhusu Uchaguzi Zanziibar,kwamba ulikwenda vizuri,ingawa kidogo,katika hatua za mwisho za kuhesabu kura za Urais,waangalizi walifukuzwa. Mwangalizi anasem ,kwamba waangalizi walifukuzwa. Lakini kuhusu Uchaguzi wa Bara wa Urais,,waangalizi wa European Union hawajasema neno hata moja,hiyo inaweza kuwa ishara nyingine kwamba kura i zimemechakachuliwa.

  Kwa hiyo maneno mengi yanasemwa kuhusu huu Uchaguzi ambayo yanatia mashka kuhusu ushindi wa Ndugu Kikwete. Itasaidia sana kuwaondoa wasiwasi wanachai,kama mtu ambaye siyo Usalama wa Taifa,akiwaeleza wananchi kwamba Ndugu Kikwete amechaguliwa kihalali.

  Kuna definite possibility,kwamba Jakaya Kikwete kura ya Urais,na kwamba we have a serious political crisis here.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jk rais wangu kashinda kiualali

  tumpe pongezi zake
   
Loading...