kura za Uchaguzi mkuu kuchomwa mwezi Novemba; Baada ya kukidhi vigezo miezi 6.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kararatasi za kura (kura ) zilizopigwa uchaguzi mkuu wa Marudio zanzibar kuchomwa baada ya miezi 6. Baada ya kukidhi vigezo vya Tume ya uchaguzi; Serikali ya Zanzibar hipo njiani kuchoma makabrasha ya uchaguzi mkuu ; Mwishoni mwa mwezi Novemba ; Kutokana na kutokuwepo kwa pingamizi lolote kuhusu uraisi wa Raisi wa Zanzibar Dr Shein.
 
Waambie siku nyingine wazichome moto baada tu ya kumaliza kuzihesabu, kabla ya kutoa Matokeo.

Maana watanzania hatuoni maana ya kuhifadhiwa kwa miezi 6
 

wanahifadhi vipi kura kwa lengo la kuhesabiwa upya pale penye pingamizi, ikiwa hakuna Mahala pa pingamizi kusikilizwa..?
 
Back
Top Bottom