Kura za tunduma zaibukia ngerengere/serengeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za tunduma zaibukia ngerengere/serengeti

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Baija Bolobi, Oct 28, 2010.

 1. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Kuna uvumi unaenea kasi kuwa:
  -Zile kura za Tunduma, zilirudishwa hadi Zambia
  -Zikapakiwa kwenye ndege mbili
  -Moja ikatua Ngerengere jeshini (airbase)
  -Nyingine ikatua serengeti kwenye hotel moja ya kitalii
  -Janjaweed wanazitawanya nchi nzima kwa sasa

  Utafiti wetu kwenye Mamlaka ya Anga na Viwanja vya ndege, umepata habari kuwa ni kweli kuna ndege ilitua serengeti ikitokea Zambia, lakini chanzo chetu kikagoma kuthibitisha ndege iliyotua Ngerengere kwa sababu za usalama!

  Aliye na zaidi atujuze, au tuachane na uvumi huu, tuelekeze mawazo yetu kwingineko zitakakotokea kura za kamati za ufundi.
   
Loading...